kiunzi
JF-Expert Member
- Nov 11, 2018
- 514
- 369
Ufanisi katika mahabara nyingi za hospital za serikali zinatia shaka inafikia laboratory attendant anarudisha majibu ya uwongo kwa doctor,ethics haipo kabisa,mtumishi mmoja wa hospital hiyo tajwa huwa anarudi na form anajazia tuu nyumbani kesho anarudisha kwa Dr. eti ni majibu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Jipu uchungu nimeliona hospitali ya Mwananyamala kitengo cha maabara watu wanaanza kupewa huduma saa tano. Na wakati wafanyakazi wanafika ofisini saa moja wao ni stori tu na kuacha wagonjwa wanaendelea kuzidiwa....
Mtu amepima toka jana lakini kumpa tu majibu yake asubiri hadi saa tano ndo waanze kutoa majibu....wao na stori tu ofisini
Sent using Jamii Forums mobile app