Toka kwa Wananchi: Kero na vitendo vya kifisadi vinavyoendelea nchini vinavyotakiwa kufuatiliwa

Bora aendelee kuuchuna hivyo hivyo. Hii nchi kwa ujuaji. Ukianza kusikiliza kila mtu, lazima gari liingie mtaroni. Afanye anachoona kinafaa kwake. Ova!
 
Hizi ndizo kero/changamoto za wananchi ? Sema kero za wanasiasa wa upinzani sio za wananchi wote.
Yaani Rais atoe tamko la kulaani wabunge flani kuwepo Bungeni ?
 
Zaman na sasa tofauti mkuu
Your browser is not able to play this audio.
 
Zaman na sasa tofauti mkuu View attachment 1824893
 
Bora aendelee kuuchuna hivyo hivyo. Hii nchi kwa ujuaji. Ukianza kusikiliza kila mtu, lazima gari liingie mtaroni.
Wapuuzi kama wewe hamkutakiwa kabisa kuishi karne hii, mlitakiwa kuwa extinct pamoja na mawazo yenu ya zama za mawe. Unaona kabisa msingi una ufa mkubwa lakini kipaumbele chako ni kupaka ukuta rangi nyumba ipendeze...hizi ni akili za wapi? Je nyumba ikianguka na kuua wote walio ndani uzuri wa ukuta utasaidia nini?
Afanye anachoona kinafaa kwake. Ova!
Hapana, si anachoona kinafaa kwake, afanye kinachofaa kwa Watanzania lakini ndani ya Katiba. Ule upuuzi wa kutoheshimu Katiba kwa sababu yoyote ile si ruhusa. Asisahau mamlaka aliyo nayo kapewa na Katiba na kama Katiba inamkwamisha aishughulikie haraka Kikatiba.
 
Hizi ndizo kero/changamoto za wananchi ? Sema kero za wanasiasa wa upinzani sio za wananchi wote.
Yaani Rais atoe tamko la kulaani wabunge flani kuwepo Bungeni ?
Wapinzani sio wananchi kwa akili yako?
Hao wapinzani wanawakilisha watu wangapi kwa akili yako?
 
Kama hatutatumia wino uliotumika kuandikia katiba ya Kenya, Watanzania tutaisubiri katiba mpya hadi siku ya kiama!
 
Katiba haiombwi ni sharti na haki ya raia kudai katiba .....ukiona kimya ingia baeabarani ni haki yako kama huna subira usiombe ingia kati
Wapinzani wenyewe ambao tulikuwa tunawategemea waongoze kuomba katiba mpya ndio walikuwa wa kwanza kuanza kumpamba, kumsifia na kumshangilia mara tu alipoapishwa na sasa wanaona aibu kuanza kudai katiba mpya wanaona hawataeleweka kwa wananchi.
 
Ufisadi katika nafasi za uteuzi ukomeshwe.
 
Naomba maelekezo ya vitu vya kuzingatia kabla hujafungua account ya NBC
 
TOZO MPYA ZA MITANDAO YA SIMU TAFADHALI. HUU NI ZAIDI YA UFISADI WA WAZIWAZI KABISA MAANA HAIWEZEKANI KAMPUNI ZA SIMU ZIWEKEZE NA ZIILIPE SERIKALI KODI NA BADO SERIKALI HIYOHIYO INATAKA IKUSANYE ZAIDI YA WANACHOSTAHILI KUTOKA KWA MTUMIAJI WA HUDUMA ZA SIMU
 
Kero yangu ni kwa TANROADS.napenda kupata majibu ya maswali haya:-
Ni kwanini hamkarabati barabara za Kata ya K/NDEGE Mitaa ya OYSTER BAY NA MKWAJUNI WILAYA DODOMA? Ni takribani miaka 10 Sasa sijawahi ona greda likishughulikia barabara hizi.

2.NI KWANINI MMESHINDWA KUZUIA AU SHUGHULIKIA TATIZO LA BAADHI YA WATU KATIKA MTAA WA MKWAJUNI WANAO ENDESHA KILIMO CHA MBOGAMBOGA KATIKATI YA BARABARA? Imefikia wengine kuona Ni haki yao na Sasa wamepanda miti Kama mipapai n.k.yangu Ni hayo tu
 
Sio tozo za miamala na manunuzi ya bundle pekee. Hata malipo ya majengo kwa LUKU pia ni ufisadi na wizi. Wengi wanakatwa lakini ni wapangaji walio omba separation. Tena wengime wamesha kufa na wengine wamehama. Vyema wanapo kata wataje na namna ya jengo mteja analo daiwa.
 
Barabara ya Kimara mpaka Maili moja iliyochini ya ujenzi imeanza kutumika kwa zile barabara 6. Imewekewa kiwango cha mwendo kuwa kilomita 50 kwa lisaa, ikilinganishwa na zile barabara nne za Tegeta hadi Moroco ambako mwendo ni kilomita 60 kwa lisaa.

Je, ni kigezo kipi kinatumika kuweka huo mwendo?
Je, kwa mwendo kasi huo, uchumi utasisimuka kwa maana kupunguza foleni na pia kuharakikisha mizigo inayosafirishwa kwa njia ya malori kuwahi kufika kule inakokusudiwa?
Je, kwa mwendo kasi huo, kulikuwa na haja ya kujenga barabara 8?
 
Kuna demu ananinuonya nanii nampa 5000 kila siku ana wiki hajanihudumia ,hili swala lifatiliwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…