mpenda arage
JF-Expert Member
- Nov 10, 2015
- 1,677
- 3,806
Bora aendelee kuuchuna hivyo hivyo. Hii nchi kwa ujuaji. Ukianza kusikiliza kila mtu, lazima gari liingie mtaroni. Afanye anachoona kinafaa kwake. Ova!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizi ndizo kero/changamoto za wananchi ? Sema kero za wanasiasa wa upinzani sio za wananchi wote.Tulitegemea huyu rais aje na utatuzi wa mitanziko mikubwa iliyojitokeza ktk awamu ya 5 baada ya mwendazake kutumia katiba yetu mbovu na sheria zetu mbaya kuliyumbisha taifa. Hivyo tulitarajia yafuatayo:-
1. Abatilishe na kubadilisha sheria zinazowaweka watuhumiwa rumande kimabavu, mfano;- mashekhe, Harbinder Seth, Papaa Msofe, n.k
2. Aibadilishe katiba ili isitoe mwanya kwa mtu mmoja (rais) ama chama tawala kuharibu uchaguzi kama ilivyokuwa 2020.
3. Atoe tamko hata la kulaani tu kama sheria haimpi uwezo wa kuwatumbua kabisa Covid-19 waliopo bungeni. Lkn anaonekana kudemka ngoma ya mtangulizi wake. Nimeona alipokuwa Mwanza amemtambua Nusrat kama mbunge anayewakilisha vijana mkoa wa Singida na akapewa nafasi ya kutoa neno.
4. Ajitenge na makada wa chadema walionunuliwa na akina Bashiru na Polepole. Lkn naona bado anawapa uwaziri, uDC, n.k. Nadhani atawatumia huko mbeleni kwa staili zile zile za awamu ya 5.
5. Afanye teuzi kwa misingi ya weledi. Lkn naona anaangalia zaidi wale wanaoweza kumsogeza mbele kisiasa.
Ndiyo maana anaondoa wasiyo wake na anapachika walio wakwake. Akina Bashiru, Polepole, Heri James pamoja na katibu wa UVCCM amewatoa na anatia chachandu yake.
My take.
Kwa jinsi tunavyoenda, huyu rais wetu hana nia ya kubadilisha katiba na sheria kandamizi.
Zaman na sasa tofauti mkuuTulitegemea huyu rais aje na utatuzi wa mitanziko mikubwa iliyojitokeza ktk awamu ya 5 baada ya mwendazake kutumia katiba yetu mbovu na sheria zetu mbaya kuliyumbisha taifa. Hivyo tulitarajia yafuatayo:-
1. Abatilishe na kubadilisha sheria zinazowaweka watuhumiwa rumande kimabavu, mfano;- mashekhe, Harbinder Seth, Papaa Msofe, n.k
2. Aibadilishe katiba ili isitoe mwanya kwa mtu mmoja (rais) ama chama tawala kuharibu uchaguzi kama ilivyokuwa 2020.
3. Atoe tamko hata la kulaani tu kama sheria haimpi uwezo wa kuwatumbua kabisa Covid-19 waliopo bungeni. Lkn anaonekana kudemka ngoma ya mtangulizi wake. Nimeona alipokuwa Mwanza amemtambua Nusrat kama mbunge anayewakilisha vijana mkoa wa Singida na akapewa nafasi ya kutoa neno.
4. Ajitenge na makada wa chadema walionunuliwa na akina Bashiru na Polepole. Lkn naona bado anawapa uwaziri, uDC, n.k. Nadhani atawatumia huko mbeleni kwa staili zile zile za awamu ya 5.
5. Afanye teuzi kwa misingi ya weledi. Lkn naona anaangalia zaidi wale wanaoweza kumsogeza mbele kisiasa.
Ndiyo maana anaondoa wasiyo wake na anapachika walio wakwake. Akina Bashiru, Polepole, Heri James pamoja na katibu wa UVCCM amewatoa na anatia chachandu yake.
My take.
Kwa jinsi tunavyoenda, huyu rais wetu hana nia ya kubadilisha katiba na sheria kandamizi.
Zaman na sasa tofauti mkuu View attachment 1824893Tulitegemea huyu rais aje na utatuzi wa mitanziko mikubwa iliyojitokeza ktk awamu ya 5 baada ya mwendazake kutumia katiba yetu mbovu na sheria zetu mbaya kuliyumbisha taifa. Hivyo tulitarajia yafuatayo:-
1. Abatilishe na kubadilisha sheria zinazowaweka watuhumiwa rumande kimabavu, mfano;- mashekhe, Harbinder Seth, Papaa Msofe, n.k
2. Aibadilishe katiba ili isitoe mwanya kwa mtu mmoja (rais) ama chama tawala kuharibu uchaguzi kama ilivyokuwa 2020.
3. Atoe tamko hata la kulaani tu kama sheria haimpi uwezo wa kuwatumbua kabisa Covid-19 waliopo bungeni. Lkn anaonekana kudemka ngoma ya mtangulizi wake. Nimeona alipokuwa Mwanza amemtambua Nusrat kama mbunge anayewakilisha vijana mkoa wa Singida na akapewa nafasi ya kutoa neno.
4. Ajitenge na makada wa chadema walionunuliwa na akina Bashiru na Polepole. Lkn naona bado anawapa uwaziri, uDC, n.k. Nadhani atawatumia huko mbeleni kwa staili zile zile za awamu ya 5.
5. Afanye teuzi kwa misingi ya weledi. Lkn naona anaangalia zaidi wale wanaoweza kumsogeza mbele kisiasa.
Ndiyo maana anaondoa wasiyo wake na anapachika walio wakwake. Akina Bashiru, Polepole, Heri James pamoja na katibu wa UVCCM amewatoa na anatia chachandu yake.
My take.
Kwa jinsi tunavyoenda, huyu rais wetu hana nia ya kubadilisha katiba na sheria kandamizi.
Wapuuzi kama wewe hamkutakiwa kabisa kuishi karne hii, mlitakiwa kuwa extinct pamoja na mawazo yenu ya zama za mawe. Unaona kabisa msingi una ufa mkubwa lakini kipaumbele chako ni kupaka ukuta rangi nyumba ipendeze...hizi ni akili za wapi? Je nyumba ikianguka na kuua wote walio ndani uzuri wa ukuta utasaidia nini?Bora aendelee kuuchuna hivyo hivyo. Hii nchi kwa ujuaji. Ukianza kusikiliza kila mtu, lazima gari liingie mtaroni.
Hapana, si anachoona kinafaa kwake, afanye kinachofaa kwa Watanzania lakini ndani ya Katiba. Ule upuuzi wa kutoheshimu Katiba kwa sababu yoyote ile si ruhusa. Asisahau mamlaka aliyo nayo kapewa na Katiba na kama Katiba inamkwamisha aishughulikie haraka Kikatiba.Afanye anachoona kinafaa kwake. Ova!
Afanye mambo ya msingi tu.Du! Huyu mwanamke mtamuua.
Ama kweli kuwa Rais ni mtiti.
Leo ni lawama tu toka asubuhi
Rais Samia nakukumbusha tena usijaribu kumridhisha kila unayemwongoza ova.
Wapinzani sio wananchi kwa akili yako?Hizi ndizo kero/changamoto za wananchi ? Sema kero za wanasiasa wa upinzani sio za wananchi wote.
Yaani Rais atoe tamko la kulaani wabunge flani kuwepo Bungeni ?
Kama hatutatumia wino uliotumika kuandikia katiba ya Kenya, Watanzania tutaisubiri katiba mpya hadi siku ya kiama!Tulitegemea huyu rais aje na utatuzi wa mitanziko mikubwa iliyojitokeza ktk awamu ya 5 baada ya mwendazake kutumia katiba yetu mbovu na sheria zetu mbaya kuliyumbisha taifa. Hivyo tulitarajia yafuatayo:-
1. Abatilishe na kubadilisha sheria zinazowaweka watuhumiwa rumande kimabavu, mfano;- mashekhe, Harbinder Seth, Papaa Msofe, n.k
2. Aibadilishe katiba ili isitoe mwanya kwa mtu mmoja (rais) ama chama tawala kuharibu uchaguzi kama ilivyokuwa 2020.
3. Atoe tamko hata la kulaani tu kama sheria haimpi uwezo wa kuwatumbua kabisa Covid-19 waliopo bungeni. Lkn anaonekana kudemka ngoma ya mtangulizi wake. Nimeona alipokuwa Mwanza amemtambua Nusrat kama mbunge anayewakilisha vijana mkoa wa Singida na akapewa nafasi ya kutoa neno.
4. Ajitenge na makada wa chadema walionunuliwa na akina Bashiru na Polepole. Lkn naona bado anawapa uwaziri, uDC, n.k. Nadhani atawatumia huko mbeleni kwa staili zile zile za awamu ya 5.
5. Afanye teuzi kwa misingi ya weledi. Lkn naona anaangalia zaidi wale wanaoweza kumsogeza mbele kisiasa.
Ndiyo maana anaondoa wasiyo wake na anapachika walio wakwake. Akina Bashiru, Polepole, Heri James pamoja na katibu wa UVCCM amewatoa na anatia chachandu yake.
My take.
Kwa jinsi tunavyoenda, huyu rais wetu hana nia ya kubadilisha katiba na sheria kandamizi.
Wapinzani wenyewe ambao tulikuwa tunawategemea waongoze kuomba katiba mpya ndio walikuwa wa kwanza kuanza kumpamba, kumsifia na kumshangilia mara tu alipoapishwa na sasa wanaona aibu kuanza kudai katiba mpya wanaona hawataeleweka kwa wananchi.Katiba haiombwi ni sharti na haki ya raia kudai katiba .....ukiona kimya ingia baeabarani ni haki yako kama huna subira usiombe ingia kati
Nimekuelewa sana ndugu. Tusitarajie katiba mpya itaundwa kwa kulalama mitandaoni.Kama hatutatumia wino uliotumika kuandikia katiba ya Kenya,
Ufisadi katika nafasi za uteuzi ukomeshwe.Ndugu wana JamiiForums,
Nchi yetu imetafunwa mno na ni wakati sasa tuseme imetosha. Tumsaidie Rais Magufuli na Serikali yake kuweza kuzifahamu kero zetu za yanayotusumbua kama Watanzania ambayo tungependa yafanyiwe kazi.
Karibuni sana.
MWONGOZO: Elezea jipu/kero yako na kama ina ufafanuzi wa kutosha (nani, wapi, lini, kivipi n.k) ukiambatana na nyaraka itapendeza zaidi.
Kero hizi zitachapwa na kupelekwa kwa mamlaka husika ili zifanyiwe ufuatiliaji.
Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania
Binafsi nimefurahishwa na kasi ya Rais Dkt. Magufuli. Naamini wapo pia wengi wanaoungana nami katika furaha hii. Rais Magufuli ameanza kwa kasi ambayo kama ataimaintain, Tanzania haimalizi miaka mitano itakuwa tayari ni nchi yenye kipato cha kati. Hata hivyo wapo baadhi yetu ambao wanakejeli...www.jamiiforums.com
Sio tozo za miamala na manunuzi ya bundle pekee. Hata malipo ya majengo kwa LUKU pia ni ufisadi na wizi. Wengi wanakatwa lakini ni wapangaji walio omba separation. Tena wengime wamesha kufa na wengine wamehama. Vyema wanapo kata wataje na namna ya jengo mteja analo daiwa.TOZO MPYA ZA MITANDAO YA SIMU TAFADHALI. HUU NI ZAIDI YA UFISADI WA WAZIWAZI KABISA MAANA HAIWEZEKANI KAMPUNI ZA SIMU ZIWEKEZE NA ZIILIPE SERIKALI KODI NA BADO SERIKALI HIYOHIYO INATAKA IKUSANYE ZAIDI YA WANACHOSTAHILI KUTOKA KWA MTUMIAJI WA HUDUMA ZA SIMU