Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ninaomba serikali izidi kukaa kimya, huenda mambo yakizidi wananchi watapata morali ya kudai katiba mpya.Selikali inapaswa kuwajali wananchi wake ama sivyo itawaokota wamezimia kodi zinapanda mikopo lukuki inakopwa zinakokwenda mawenge mawenge uwazi hakuna!!!!
Huu ndio unafiki na husda! Hutaki walimu waendeshe tuisheni ili kujiongezea kipato wakati unajua mishahara yao ni mkia wa mbuzi na haiwatoshi! Unataka waanze kukaba siyo?Kuna majipu bado yapo mengi mfano:
Utafiti mdogo niliofanya, umeonesha kuna shule za msingi zinaendesha tuisheni, mfano.
Shule ya msingi Tumaini na Kimanga zote shule hizi zimeunganishwa pamoja. Walimu wao wamekuwa wakiendesha tuisheni, pembeni kidogo ya shule hizo.
Walimu hao huendesha tuisheni, katika majengo ya shule ya sekondari ya wazazi iliyoko maeneo ya sokoni huko huko tabata kimanga
Chanzo mimi mwenyewe nimefanya utafiti.
Wakati huo huo ni mwanaume?Kero yangu ni mtu kulalama anaonewa kwa sababu ni mwanamke
Poleni sana Uyui.Uyui halmashauri Bado inadhulumu posho za wasimamizi wa NECTA!!TUNAOMBA NECTA IWE INAINGIZA FEDHA KWENYE AKAUNTI ZA WASIMAMIZI MOJA KWA MOJA!!PIA UTEUZI WA MAJINA YA USIMAMIZI WA MITIHANI YA TAIFA NA MAANDALIZI YA PRACTICAL UFANYWE NA NECTA MOJA KWA MOJA KAMA MNAVOTEUA WASAHISHAJI WA MITIHANI!!!HUKU HALMASHAURI KUNA URASIMU NA RUSHWA ZA NGONO ZINAFANYWA NA MAAFISA ELIMU MSINGI NA SEKONDARI!!!
Na daktari auze dawa zake hospitalin?Huu ndio unafiki na husda! Hutaki walimu waendeshe tuisheni ili kujiongezea kipato wakati unajua mishahara yao ni mkia wa mbuzi na haiwatoshi! Unataka waanze kukaba siyo?
Kuna shida gani mwalimu akifundisha tuisheni baada ya muda wa kazi ili kujiongezea kipato? Kama anafanya ndani ya muda wa kazi hapo sawa lkn nje ya muda wa kazi kuna shida gani?Na daktari auze dawa zake hospitalin?
Koo aChukue Chake Mapema auMwisho wa siku tusisahau Rais ni mwanaccm...
Sababu Moja Hamna Hela mitaani, nimekutana na mama aliyekuwa na tenda ya kusimamia vyoo Jiji Moja Kanda ya ziwa, analia Pombe yuwapi, kasema Mafisadi wa majiji washajinufaisha na hizo tenda🤔Ndugu wana JamiiForums,
Nchi yetu imetafunwa mno na ni wakati sasa tuseme imetosha. Tumsaidie Rais Magufuli na Serikali yake kuweza kuzifahamu kero zetu za yanayotusumbua kama Watanzania ambayo tungependa yafanyiwe kazi.
Karibuni sana.
MWONGOZO: Elezea jipu/kero yako na kama ina ufafanuzi wa kutosha (nani, wapi, lini, kivipi n.k) ukiambatana na nyaraka itapendeza zaidi.
Kero hizi zitachapwa na kupelekwa kwa mamlaka husika ili zifanyiwe ufuatiliaji.
Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania
Binafsi nimefurahishwa na kasi ya Rais Dkt. Magufuli. Naamini wapo pia wengi wanaoungana nami katika furaha hii. Rais Magufuli ameanza kwa kasi ambayo kama ataimaintain, Tanzania haimalizi miaka mitano itakuwa tayari ni nchi yenye kipato cha kati. Hata hivyo wapo baadhi yetu ambao wanakejeli...www.jamiiforums.com
Ila nikweli!! Kwangu mm pia naona hakuna shidaKuna shida gani mwalimu akifundisha tuisheni baada ya muda wa kazi ili kujiongezea kipato? Kama anafanya ndani ya muda wa kazi hapo sawa lkn nje ya muda wa kazi kuna shida gani?
Muulize Wakili Pita kama anakubaliana na maelezo yako haya. Wewe muulize tu.Sasa hiv watu tunapumua,hatuna hofu tunaweza kutoa maoni kwa uhuru,wasiojulikana hatuwasikii tena.