Ibilisi Mjalaana
JF-Expert Member
- Aug 13, 2019
- 8,297
- 16,529
Nenda pekeyako na shida zakoShalom shalom
Kama ukapata fursa ya kwenda kufanya kazi ulaya, uarabuni au Amerika nenda haraka sana hata kama ni kazi ya beki 3 au kubeba box, mlinzi au store keeper, kusafisha vibibi nk, acha kazi yako ya halmshaur nenda.
Beki 3 Saudi Arabia, Jordan, Oman, Dubai, Qatar UAE anamafanikio na maendeleo kuliko mfanyakazi wa halmashauri bongo na tamisemi na hao walinda watu na Mali zao ambao hawana access yoyote ya kuibia wananchi au mali za umma
Hakuna mfanyakazi wa bongo wa halmashauri au tamisemi hata madokta anaeweza kujenga nyumba nzuri 3 Kwa miaka 5 kama sio mwizi au mla rushwa na mikopo kausha damu, lakn beki 3 na wabeba box katika hzo nchi wanajenga bila shida na aibi wala hakopi.
Usisuburi fursa bali itafute fursa, kama umeajiriwa huko ndo unanafasi kubwa ya kupanga mipango ya kuondoka kirahis zaidi na hata kutafuta kazi nzuri zaidi huko, usikubali kufia TANZANIA kajaribu duniani huko huyo sio ww unastahili zaidi ya hapo.
Nyie wabishi bakini hapahapa na mishahara yenu ya Laki 5 Hadi 1.5milion ambayo mbeba box anaipata Kwa siku 4 hadi 5 tu.
Watanzania wengi tunawajua sio wapambanaji hamna uthubutu na hamuwezi kuchukua maamuzi magumu na kwenda kupambana huko mbele mkishapata uhakika wa kula, gari la mkopo used, na kulala kwenye mapagala , kupeleka mtoto EMS mnajiona maboss na mshamaliza kila kitu hapa duniani.
Kwahy nategemea mtakuja na kejeli za kila aina lakn ukweli utabaki palepale ukipata nafas ya kukimbia utumwani kimbia acha uzito
Nawasilisha
We hapa utumwani unaraha Gani?Nenda pekeyako na shida zako
Kabebe box kama mwanaume kama mwanamke kawe beki 3Shida unazo wewe ndio uende ukawe beki 3 a.k.a mke wa mwarabu
Kabsa lakn kama umeajiriwa unaweza ukajipanga ukaenda Kwa Hela zako mwenywNi connection tu.
Unafikiri wote ni watumwa kama wwWe hapa utumwani unaraha Gani?
Unalipwa Bei gani mpaka usiwe mtumwa hapa bongo au unaiba kiasi kutoka Kwa wananchi?Unafikiri wote ni watumwa kama ww
Ushasema (kuna) maana yake huna ushaid, pili unatakiwa uende kupitia taasisi zilizosajiliwa TAESA sio unajiendea kama ng'ombe watu watauza Figo hizoKuna malalamiko kuwa Mademu wakienda uarabuni kufanya kazi za ndani huwa wanageuzwa kuwa masturbation ya watoto wa kiarabu
Labda ulaya, ila Oman and the like sorryShalom shalom
Kama ukapata fursa ya kwenda kufanya kazi ulaya, uarabuni au Amerika nenda haraka sana hata kama ni kazi ya beki 3 au kubeba box, mlinzi au store keeper, kusafisha vibibi nk, acha kazi yako ya halmshaur nenda.
Beki 3 Saudi Arabia, Jordan, Oman, Dubai, Qatar UAE anamafanikio na maendeleo kuliko mfanyakazi wa halmashauri bongo na tamisemi na hao walinda watu na Mali zao ambao hawana access yoyote ya kuibia wananchi au mali za umma
Hakuna mfanyakazi wa bongo wa halmashauri au tamisemi hata madokta anaeweza kujenga nyumba nzuri 3 Kwa miaka 5 kama sio mwizi au mla rushwa na mikopo kausha damu, lakn beki 3 na wabeba box katika hzo nchi wanajenga bila shida na aibi wala hakopi.
Usisuburi fursa bali itafute fursa, kama umeajiriwa huko ndo unanafasi kubwa ya kupanga mipango ya kuondoka kirahis zaidi na hata kutafuta kazi nzuri zaidi huko, usikubali kufia TANZANIA kajaribu duniani huko huyo sio ww unastahili zaidi ya hapo.
Nyie wabishi bakini hapahapa na mishahara yenu ya Laki 5 Hadi 1.5milion ambayo mbeba box anaipata Kwa siku 4 hadi 5 tu.
Watanzania wengi tunawajua sio wapambanaji hamna uthubutu na hamuwezi kuchukua maamuzi magumu na kwenda kupambana huko mbele mkishapata uhakika wa kula, gari la mkopo used, na kulala kwenye mapagala , kupeleka mtoto EMS mnajiona maboss na mshamaliza kila kitu hapa duniani.
Kwahy nategemea mtakuja na kejeli za kila aina lakn ukweli utabaki palepale ukipata nafas ya kukimbia utumwani kimbia acha uzito
Nawasilisha
Ukipata fursa nenda unapotaka toka unyanini toka utumwaniLabda ulaya, ila Oman and the like sorry