Ibilisi Mjalaana
JF-Expert Member
- Aug 13, 2019
- 8,297
- 16,529
- Thread starter
- #41
Sawa mkuuKiwanja cha mapambano sio Oman abiola
Sawa mkuuKiwanja cha mapambano sio Oman abiola
Sasa kama unang’ang’ania nikufanyeje nenda wanatafutwa sana watu kama weweWewe walikufumua mtaro? Naona umeweka ushuhuda wako hapa?
Pick your struggle else where.Kwani andiko langu hujasoma au we ni kichaa? Kama sio mfanyakazi wa halmashaur, daktar au afisa ulinzi hapa unafata nn?
Mkuu kuna watu wana uelewa finyu sana,pia kuna watu wanawakatisha tamaa wenzao kwa makusudi kabisa,huu uzi ni kwa wanaojitafuta hasa vijana.Kwani andiko langu hujasoma au we ni kichaa? Kama sio mfanyakazi wa halmashaur, daktar au afisa ulinzi hapa unafata nn?
Ndo maana nikasema hili andiko halikuhusuPick your struggle else where.
Jibu swali basi,walikufumua mtaro? Coz mpaka kuweka ushuhuda wako hapa inaonekana kuna jambo lilikufika.Sasa kama unang’ang’ania nikufanyeje nenda wanatafutwa sana watu kama wewe
Kaka pangisha tu usirudi wabongo wachawi watakurogaMie nipo Oman,sirudi bongo Hadi nijenge ghorofa Goba.
Bado pia utaitaji connection. Pesa ni kilainishi.Kabsa lakn kama umeajiriwa unaweza ukajipanga ukaenda Kwa Hela zako mwenyw
Mashallah ...Mie nipo Oman,sirudi bongo Hadi nijenge ghorofa Goba.
Bristol acha ujinga.Shida unazo wewe ndio uende ukawe beki 3 a.k.a mke wa mwarabu
Wabongo wachawi😆Kaka pangisha tu usirudi wabongo wachawi watakuroga
Aloooo 🤯🤯Kuna malalamiko kuwa Mademu wakienda uarabuni kufanya kazi za ndani huwa wanageuzwa kuwa masturbation ya watoto wa kiarabu
Kwenye suala la kujenga wala si lazima kupata mishahara mikubwa kama iyo unayoisema ndo ujenge kuna watu wanalipwa hela za kutosha na hta vwanja hawana,ni malengo na mipango mtu uliyojiwekea kwani ujenzi unaenda nao kidogo kidogo mpk utafika nao mwisho.sema raia mnataka mafanikio chap kwa pupa ndo maana mnataka magari na kujenga nyumba 3 na zaid ndan ya miaka 5 na kuna watu wanamijengo halal na mishahara yao na wala hawajaiba popoteShalom shalom
Kama ukapata fursa ya kwenda kufanya kazi ulaya, uarabuni au Amerika nenda haraka sana hata kama ni kazi ya beki 3 au kubeba box, mlinzi au store keeper, kusafisha vibibi nk, acha kazi yako ya halmshaur nenda.
Beki 3 Saudi Arabia, Jordan, Oman, Dubai, Qatar UAE anamafanikio na maendeleo kuliko mfanyakazi wa halmashauri bongo na tamisemi na hao walinda watu na Mali zao ambao hawana access yoyote ya kuibia wananchi au mali za umma
Hakuna mfanyakazi wa bongo wa halmashauri au tamisemi hata madokta anaeweza kujenga nyumba nzuri 3 Kwa miaka 5 kama sio mwizi au mla rushwa na mikopo kausha damu, lakn beki 3 na wabeba box katika hzo nchi wanajenga bila shida na aibi wala hakopi.
Usisuburi fursa bali itafute fursa, kama umeajiriwa huko ndo unanafasi kubwa ya kupanga mipango ya kuondoka kirahis zaidi na hata kutafuta kazi nzuri zaidi huko, usikubali kufia TANZANIA kajaribu duniani huko huyo sio ww unastahili zaidi ya hapo.
Nyie wabishi bakini hapahapa na mishahara yenu ya Laki 5 Hadi 1.5milion ambayo mbeba box anaipata Kwa siku 4 hadi 5 tu.
Watanzania wengi tunawajua sio wapambanaji hamna uthubutu na hamuwezi kuchukua maamuzi magumu na kwenda kupambana huko mbele mkishapata uhakika wa kula, gari la mkopo used, na kulala kwenye mapagala , kupeleka mtoto EMS mnajiona maboss na mshamaliza kila kitu hapa duniani.
Kwahy nategemea mtakuja na kejeli za kila aina lakn ukweli utabaki palepale ukipata nafas ya kukimbia utumwani kimbia acha uzito
Nawasilisha
Don't come to oman maybe your not even qualified ,why don't you go to israel maybe the zionist will treat you better, good luck have a nice dayLabda ulaya, ila Oman and the like sorry
Kuna malalamiko kuwa Mademu wakienda uarabuni kufanya kazi za ndani huwa wanageuzwa kuwa masturbation ya watoto wa kiarabu
Send them to your friends zionist they may get better offer.