Toka Maghetoni twende viwanjani, toka utumwani tukabebe box

Hiki kizazi cha kuvalia suruali chini ya makalio na kujipodoa ndio unakishauri kupambania maisha abroad? Sana sana watakuja kukutukana tu mkuu,ila miaka ya mbeleni watakuja kukuelewa but it'll be too late.

Usimuamshe aliyelala,waache wafuatilie tu udaku wa Mange,wewe pambana kivyako mkuu,

Karibu sana hapa tukomae na "Box"
 
Sasa hapo "mtumwa" ni yupi?... maana hata maelezo yanaonyesha yana Idelogy za "Kitumwa"..
we ungesema tukatafute malisho ambapo "watumwa wenzetu" angalau wana malipo mazuri na kuna mandhari tofauti na ya hapa...
 
Kuna malalamiko kuwa Mademu wakienda uarabuni kufanya kazi za ndani huwa wanageuzwa kuwa masturbation ya watoto wa kiarabu
Umeusoma ule uzi wa waziri Dr Gwajima? Wadada wa kazi bongo wanabakwa kwa nguvu na watoto wa ma boss wao.
 
Naomba connection Mkuu.
 
Sasa hapo "mtumwa" ni yupi?... maana hata maelezo yanaonyesha yana Idelogy za "Kitumwa"..
we ungesema tukatafute malisho ambapo "watumwa wenzetu" angalau wana malipo mazuri na kuna mandhari tofauti na ya hapa...
Bongo hakuna sehem yenye marisho mazuri sema labda tuwe wezi, Huko kidogo wanajali watumwa
 
Wadada wanaofanya kazi za ndani wanatumiwa pia kingono kwa asilimia kubwa
Unao ushahidi?

Mimi nimekupa ushahidi wa uzi wa waziri Gwajima? Wadada wangapi wa kazi wanateswa Bongo na waajiri wao? Wangapi wanabakwa? Au unafikiri wadada wa kazi Bongo hawafikwi na hayo matatizo?
 
Uko Oman utaaga mashindano , tafuta pesa ila kuwa na mipaka usije ukafumuliwa mtaro.
 
Unao ushahidi?

Mimi nimekupa ushahidi wa uzi wa waziri Gwajima? Wadada wangapi wa kazi wanateswa Bongo na waajiri wao? Wangapi wanabakwa? Au unafikiri wadada wa kazi Bongo hawafikwi na hayo matatizo?
Kwani nimekataa? Nimesema wadada wa kazi kwa asilimia kubwa wanatumika Kingono pia kwahiyo ushahidi gani unataka?
 
Unao ushahidi?

Mimi nimekupa ushahidi wa uzi wa waziri Gwajima? Wadada wangapi wa kazi wanateswa Bongo na waajiri wao? Wangapi wanabakwa? Au unafikiri wadada wa kazi Bongo hawafikwi na hayo matatizo?
Bora Bongo kuna Gwajima atakutetea, Uarabuni watu washakufichia passport unachomokaje.
 
Bora Bongo kuna Gwajima atakutetea, Uarabuni watu washakufichia passport unachomokaje.
Endelea kuamini maneno ya kuambiwa,
Kila jamii ina watu wema na wabaya,kuna wadada wa kazi bongo wamechomwa moto mikono kwa wizi wa buku mbili tu,wadada wa kazi wamebakwa na kuambukizwa magonjwa.
 
Uko Oman utaaga mashindano , tafuta pesa ila kuwa na mipaka usije ukafumuliwa mtaro.
Sawa Lakn kama unapenda kufilwa Ili upate hela unaweza kufilwa hapahapa tu bongo na ukapata Hela, viwanjani tunaenda wapambanaji sio mashoga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…