Toka Maghetoni twende viwanjani, toka utumwani tukabebe box

Kwani andiko langu hujasoma au we ni kichaa? Kama sio mfanyakazi wa halmashaur, daktar au afisa ulinzi hapa unafata nn?
Mkuu kuna watu wana uelewa finyu sana,pia kuna watu wanawakatisha tamaa wenzao kwa makusudi kabisa,huu uzi ni kwa wanaojitafuta hasa vijana.
 
Kwenye suala la kujenga wala si lazima kupata mishahara mikubwa kama iyo unayoisema ndo ujenge kuna watu wanalipwa hela za kutosha na hta vwanja hawana,ni malengo na mipango mtu uliyojiwekea kwani ujenzi unaenda nao kidogo kidogo mpk utafika nao mwisho.sema raia mnataka mafanikio chap kwa pupa ndo maana mnataka magari na kujenga nyumba 3 na zaid ndan ya miaka 5 na kuna watu wanamijengo halal na mishahara yao na wala hawajaiba popote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…