Vichekesho
Member
- Jun 20, 2024
- 66
- 3,277
Ndio mmeaminishwa Kanisani hivyo sio?Labda kama unataka kwenda kuwa gaidi.
Sasa kuna lipi huko? Si bora ubaki hapa bongo ukalime tu? Mapori yapo kibao kuliko kwenda huko kwa wavaa makobaziNdio mmeaminishwa Kanisani hivyo sio?
Mwambie aende Vatican atapata bwana na atabarikiwa na Papa,Sasa kuna lipi huko? Si bora ubaki hapa bongo ukalime tu? Mapori yapo kibao kuliko kwenda huko kwa wavaa makobazi
Kuna wahamiaji milioni 13 Saudi Arabia. Wachapa kazi kikamilifu na Wana toaVijana wengi hapa Mchamba Wima wamekimbilia Marekani, Canada na UK kutafuta maisha. Mimi naona wamepotea.
Mimi nataka kwenda Iran au Saudi Arabia naamini Waarabu na Waajemi watanipokea na kunipa mke nioe ili niweze kupewa ukaazi wa kudumu.
Ikiwa wale walioenda marekani, canada na uk wameoa mpaka wazungu na hawakubaguliwa mimi nashindwaje kuoa mwarabu na nimehifadhi kitabu chao?
Poa.Mwambie aende Vatican atapata bwana na atabarikiwa na Papa,
Wazungu wanawapenda LGBTQ na wanawalinda,
Hao wazungu wamejaa huko Saudi Arabia,wewe endelea kukaa hapo kijijini ukihesabu nyota.
Tanzani with this types of brain washed ndo maana katu ccm haiwezi kutoka marekan kama watu wanaakil kama hiziLabda kama unataka kwenda kuwa gaidi.
Ni lini hiyo ccm ilikwenda marekani?ccm haiwezi kutoka marekan
Wanatumia Yas?Nimekushauri nenda Vatican na Mumeo ili mkabarikiwe kabisa,sasa hivi ni ruksa.
Wewe angalia tu BBC, Iran wako mbali kwenye nyanja zote, elimu, afya, technologia, usalama hata uchumi wao pamoja na vikwazo vya miaka 40 Bado ni bora sana kuliko hao nchi omba omba kwa wamagharibi.Iranπππsi bora uende burundi
Kamwe hawawezi kuolewa na mbumbu kama wewe ambao Wana njaa ya akili.Wameoa waarabu?
walioenda utumwani kipindi hicho mabaki yapo ndo akina 50 cent wa sasa, vp watumwa walioenda uarabuni walienda wapi???Vijana wengi hapa Mchamba Wima wamekimbilia Marekani, Canada na UK kutafuta maisha. Mimi naona wamepotea.
Mimi nataka kwenda Iran au Saudi Arabia naamini Waarabu na Waajemi watanipokea na kunipa mke nioe ili niweze kupewa ukaazi wa kudumu.
Ikiwa wale walioenda marekani, canada na uk wameoa mpaka wazungu na hawakubaguliwa mimi nashindwaje kuoa mwarabu na nimehifadhi kitabu chao?
Marekan πππππππTanzani with this types of brain washed ndo maana katu ccm haiwezi kutoka marekan kama watu wanaakil kama hizi
Tuambie wewe ni pori lipi unalima kwa sasaSasa kuna lipi huko? Si bora ubaki hapa bongo ukalime tu? Mapori yapo kibao kuliko kwenda huko kwa wavaa makobazi