Vichekesho
Member
- Jun 20, 2024
- 66
- 3,277
Vijana wengi hapa Mchamba Wima wamekimbilia Marekani, Canada na UK kutafuta maisha. Mimi naona wamepotea.
Mimi nataka kwenda Iran au Saudi Arabia naamini Waarabu na Waajemi watanipokea na kunipa mke nioe ili niweze kupewa ukaazi wa kudumu.
Ikiwa wale walioenda marekani, canada na uk wameoa mpaka wazungu na hawakubaguliwa mimi nashindwaje kuoa mwarabu na nimehifadhi kitabu chao?