Toka Messi apewe Ballon d'Or ya 8 kwa wizi sijui amekuaje!

Toka Messi apewe Ballon d'Or ya 8 kwa wizi sijui amekuaje!

Sasa Mkuu si kila mtu ana maoni yake jamani?
Hatuwezi kuwa na mtazamo unaofanana.

Yes, kulikuwa na nguvu kubwa ya FIFA kuonesha walitaka Messi ashinde kabla na baada ya fainali.
Dare for more 😅🏃
 
Attachments

  • IMG_8586.jpeg
    IMG_8586.jpeg
    84.8 KB · Views: 3
Sasa Mkuu si kila mtu ana maoni yake jamani?
Hatuwezi kuwa na mtazamo unaofanana.

Yes, kulikuwa na nguvu kubwa ya FIFA kuonesha walitaka Messi ashinde kabla na baada ya fainali.
Ni maoni yako nimeyajibu kwa hoja sio lazima tufanane mitazamo ila tunaelekezana tu.

Thibitisha kauli yako kuwa fifa ilitaka messi ashinde WC.

Uzuri wa mpira wa miguu ni mchezo wa wazi, tuliona fainali za WC kuanzia gemu ya ufunguzi mpaka fainali, unataka kusema Argentina hakucheza mechi zote akiisubiria fainal kwa kupangwa?
 
2022 Kombe la dunia lililokosa ladha tangu kuumbwa kwa dunia sababu ya mbeleko za penati 7 kwa Argentina [emoji1732][emoji38]
 
Ronaldo anaangushwa na ureno angekua muingereza huenda angekua na world cup by now
Sasa Ronaldo anaangushwaje na Ureno?! Hivi kuna tournament yoyote ambayo Ureno amewahi kwenda kinyonge?! Siku zote hawa jamaa wana kikosi bora na wachezaji wazuri lakini wanachokosa ni ile mentality ya ubingwa na makombe lakini kuhusu wachezaji toka enzi za Euro 2000 kina Rui Costa, Sao Pinto, Joao Pinto, Luis Figo njoo hadi kwenye kizazi cha akina Postiga, Jorge Andrade, Nuno Gomez, Nuno Vallente, Ricardo Quaresma, njoo kwa akina Ronaldo wenyewe Euro 2004 wanapigwa na Wagiriki hadi leo kina Rafael Leao, Joao Cancello, Bernardo Silva....ni lini hawa jamaa hawana wachezaji wenye quality?!
Hata huyu Argentina hakuna tournament amewahi enda kinyonge na wamewahi kua na vikosi bora miaka ya nyuma kuliko hiki kilichobeba ubingwa wa Dunia juzi. Nadhani sometimes ni issue ya bahati na timing
 
Back
Top Bottom