Toka mfumo wa vyama vingi uanze,tumekuwa Bunge 5 lipi kwako unalikubali?Bunge la Job Ndugai

Toka mfumo wa vyama vingi uanze,tumekuwa Bunge 5 lipi kwako unalikubali?Bunge la Job Ndugai

The Supreme Conqueror

JF-Expert Member
Joined
Feb 13, 2017
Posts
458
Reaction score
1,280
Bunge la Job Ndugai
Bunge la Anne Makinda
Bunge la Samweli Sitta
Bunge la Pius Msekwa.
Bunge la Tulia Akson

Lipi lilikidhi Kiu yako na uliona kama faida kwa nchi na lipi halijawahi kukata kiu yako na unaliona kama hasara kwa nchi?
 
Attachments

  • 1736635500066.jpg
    1736635500066.jpg
    426.2 KB · Views: 3
Modes naomba mrekebishe title isomeke hivi

"Toka mfumo wa vyama vingi uanze,tumekuwa Bunge 5 lipi kwako unalikubali?"
 
Bunge la Anna Makina na la Samuel Sitta. Na bunge la hovyo kabisa lilikuwa la mbilikimo Ndugai likifuatiwa kwa karibu na bunge la huyu njiti Tulia.
 
Bunge la Job Ndugai
Bunge la Anne Makinda
Bunge la Samweli Sitta
Bunge la Pius Msekwa.
Bunge la Tulia Akson

Lipi lilikidhi Kiu yako na uliona kama faida kwa nchi na lipi halijawahi kukata kiu yako na unaliona kama hasara kwa nchi?
Marehemu SAmweli Sitta ndilo bunge ambalo kwangu kwa generation yangu lilikuwa la moto na wabunge wa upinzani na ccm kuna wakati walikuwa wanasimama pamoja kwa maslahi ya taifa.
 
Bunge la Samuel Sitta, kwangu lilikuwa bora sana
 
Back
Top Bottom