The Supreme Conqueror JF-Expert Member Joined Feb 13, 2017 Posts 458 Reaction score 1,280 Jan 12, 2025 #1 Bunge la Job Ndugai Bunge la Anne Makinda Bunge la Samweli Sitta Bunge la Pius Msekwa. Bunge la Tulia Akson Lipi lilikidhi Kiu yako na uliona kama faida kwa nchi na lipi halijawahi kukata kiu yako na unaliona kama hasara kwa nchi? Attachments 1736635500066.jpg 426.2 KB · Views: 3
Bunge la Job Ndugai Bunge la Anne Makinda Bunge la Samweli Sitta Bunge la Pius Msekwa. Bunge la Tulia Akson Lipi lilikidhi Kiu yako na uliona kama faida kwa nchi na lipi halijawahi kukata kiu yako na unaliona kama hasara kwa nchi?
The Supreme Conqueror JF-Expert Member Joined Feb 13, 2017 Posts 458 Reaction score 1,280 Jan 12, 2025 Thread starter #2 Modes naomba mrekebishe title isomeke hivi "Toka mfumo wa vyama vingi uanze,tumekuwa Bunge 5 lipi kwako unalikubali?"
Modes naomba mrekebishe title isomeke hivi "Toka mfumo wa vyama vingi uanze,tumekuwa Bunge 5 lipi kwako unalikubali?"
P h a r a o h JF-Expert Member Joined Mar 25, 2024 Posts 785 Reaction score 1,413 Jan 12, 2025 #3 la makinda, wabunge walikua wanataka hadi wapigane
CHIEF PRIEST JF-Expert Member Joined Dec 13, 2021 Posts 11,635 Reaction score 21,347 Jan 12, 2025 #4 Bunge la Anna Makina na la Samuel Sitta. Na bunge la hovyo kabisa lilikuwa la mbilikimo Ndugai likifuatiwa kwa karibu na bunge la huyu njiti Tulia.
Bunge la Anna Makina na la Samuel Sitta. Na bunge la hovyo kabisa lilikuwa la mbilikimo Ndugai likifuatiwa kwa karibu na bunge la huyu njiti Tulia.
D def_xcode JF-Expert Member Joined Jul 25, 2023 Posts 1,896 Reaction score 5,181 Jan 12, 2025 #5 The Supreme Conqueror said: Bunge la Job Ndugai Bunge la Anne Makinda Bunge la Samweli Sitta Bunge la Pius Msekwa. Bunge la Tulia Akson Lipi lilikidhi Kiu yako na uliona kama faida kwa nchi na lipi halijawahi kukata kiu yako na unaliona kama hasara kwa nchi? Click to expand... Marehemu SAmweli Sitta ndilo bunge ambalo kwangu kwa generation yangu lilikuwa la moto na wabunge wa upinzani na ccm kuna wakati walikuwa wanasimama pamoja kwa maslahi ya taifa.
The Supreme Conqueror said: Bunge la Job Ndugai Bunge la Anne Makinda Bunge la Samweli Sitta Bunge la Pius Msekwa. Bunge la Tulia Akson Lipi lilikidhi Kiu yako na uliona kama faida kwa nchi na lipi halijawahi kukata kiu yako na unaliona kama hasara kwa nchi? Click to expand... Marehemu SAmweli Sitta ndilo bunge ambalo kwangu kwa generation yangu lilikuwa la moto na wabunge wa upinzani na ccm kuna wakati walikuwa wanasimama pamoja kwa maslahi ya taifa.
J johnthebaptist JF-Expert Member Joined May 27, 2014 Posts 97,869 Reaction score 171,716 Jan 12, 2025 #6 Bunge la Kasi na Viwango la Zitto Kabwe wa Buzwagi 😂😂
Sangizi JF-Expert Member Joined Nov 9, 2015 Posts 1,942 Reaction score 4,230 Jan 12, 2025 #7 Bunge la Samuel Sitta, kwangu lilikuwa bora sana