AfeNiaje waungwana
Ni week sasa imepita toka ilipotangazwa kwa njia ya uficho, kwamba waziri mkuu wa Israel mwenye asili ya Poland Mr Benjamin Shetaninyau alibugia chakula chenye sumu kali, na hivyo kukimbizwa hospital haraka kwa ajili ya kuwahi kuokoa maisha yake.
Sasa toka kipindi hicho mpaka leo waziri mkuu huyo hajawahi kuonekana hadharan wala hospitalini. Hii inaonesha kuwa jamaa hayupo katika hali ya kawaida. Eidha yupo hai au hayupo hai.
Ingekuwa kwa hii nchi yetu, tayari wananchi tungeanza kuhoji alipo kiongozi wetu, haswa baada ya kutambua kuwa alikula sumu. Lakini kwa wenzetu hilo wala haliwashughulishi, ni kama walikuwa wameshamchoka. So hawana habari nae tena.
Netanyau alijiona mjanja, na kusahau kuwa kuna wajanja zaidi yake. Haya sasa wajanja washaondoka na roho, halafu jumbo bovu linaangushiwa hicho kibibi kilichopostiwa na chombo chao wenyewe cha habari "BBC swahili".
View attachment 3418427View attachment 3418428
Naona kuna kitu mnataman kitokee lakin hakitokeiNiaje waungwana

Waajemi washafanya mambo yao.Niaje waungwana

Ngoja waje wakupopoe 😄Ndugu zetu wayahudi wa Bonyokwa na Manyovu karibuni mmwage povu ili nifulie nguo zangu za kazi.
Inasemakana kapooza kabisa!!!Niaje waungwana
Ni week sasa imepita toka ilipotangazwa kwa njia ya uficho, kwamba waziri mkuu wa Israel mwenye asili ya Poland Mr Benjamin Shetaninyau alibugia chakula chenye sumu kali, na hivyo kukimbizwa hospital haraka kwa ajili ya kuwahi kuokoa maisha yake.
Sasa toka kipindi hicho mpaka leo waziri mkuu huyo hajawahi kuonekana hadharan wala hospitalini. Hii inaonesha kuwa jamaa hayupo katika hali ya kawaida. Eidha yupo hai au hayupo hai.
Ingekuwa kwa hii nchi yetu, tayari wananchi tungeanza kuhoji alipo kiongozi wetu, haswa baada ya kutambua kuwa alikula sumu. Lakini kwa wenzetu hilo wala haliwashughulishi, ni kama walikuwa wameshamchoka. So hawana habari nae tena.
Netanyau alijiona mjanja, na kusahau kuwa kuna wajanja zaidi yake. Haya sasa wajanja washaondoka na roho, halafu jumbo bovu linaangushiwa hicho kibibi kilichopostiwa na chombo chao wenyewe cha habari "BBC swahili".
View attachment 3418427View attachment 3418428
Jamaa kapooza tangu siku ya kwanza. Kuusu msosi ilikuwa zuga ili wamkamate muusika Netanyahu kwishaaa.Mbona kama zinataka kuwa habari njema hizi🤔
Nitapoteza kusikia kichapo kwa magaidKitu gani hicho, mbona unawaza nisichokiwaza?
Hata hivyo mfano hicho kitu kikitokea wewe utapoteza nini katika maisha yako?