Toka Netanyahu alipokula chakula chenye sumu, mpaka leo hajawahi kuonekana hadharani. Hivi ni nini kinaendelea juu ya uhai wake?

Wewe endelea kumpa kijambio chako mwanajeshi wa Netanyahu ili uje ubarikiwe na bwana wenu mungu wa Israel. Maana vijana mnaliwa sana kwa ahadi ya kubarikiwa.
Kobaz busha unambong'olea mtume mara 5 kwa siku tokea ukiwa mtoto mpaka leo hii umekuwa mzee yaan allah ashakuharibu tokea unazaliwa hapo ulipo pampaz hazifai tena, tokea hujaanza madrasa ulishaharibika wewe umefika madrsa maustaadh wamekufumua sana, na mpaka sasa unafumuliwa daily mara 5 spika imeharibiwa mpaka sumaku
 
Mjuba, hata neta akifa kichapo kwa magaidi kipo pale pale, tena ataibuka mwenye msimamo mkali zaidi
 
Israel ina mfumo wake wa kidemokrasia. Hata akifa Netanyahu hakuna la kubadilika hasa mambo ya usalama wao. Hivyo hamna la kushangiliwa hapo.
 
Mmiliki wa mahakama anaogopaje kukanyaga Uingereza, Canada na Ufaransa baada ya nchi hizo kutangaza kumkamata endapo atathubutu kutia mguu katika nchi hizo!
Hakuna cha kumpeleka sasa muda huu. We kwa akili yako watu hao hao wanaompa silaha za kutandikq hao hao waarabu halafu tena wamkamate. Endelea kuota labda kutakucha
 
Hakuna cha kumpeleka sasa muda huu. We kwa akili yako watu hao hao wanaompa silaha za kutandikq hao hao waarabu halafu tena wamkamate. Endelea kuota labda kutakucha
Unadhani Kila siku ijumaa eeeh!?
Belgium ilikua rafiki mkubwa wa Israel ila imeanza kwa kukamata wanajeshi wa Israel na kuwatuhumu kwa war crimes.
Msikariri maisha geopolitical interests huwa zinabadilika.
Kuna mtu alidhani Iran na Israel watageuka kuwa maadui ilhali walikua marafiki hadi kusaidiana kwenye vita!?
 
Mjuba, hata neta akifa kichapo kwa magaidi kipo pale pale, tena ataibuka mwenye msimamo mkali zaidi
Huyo mwenye msimamo mkali na yeye atamalizwa hivyo hivyo Konya kimya. Haina haja ya kutumia silaha kupambana na nchi inayotegemea misaada ya kijeshi na wanajeshi kutoka Marekani, UK, Ujerumani, Ufaransa, Italy nk. Dawa ni kudili nao kimya kimya ili kusave gharama za vita.
 
Israel ina mfumo wake wa kidemokrasia. Hata akifa Netanyahu hakuna la kubadilika hasa mambo ya usalama wao. Hivyo hamna la kushangiliwa hapo.
Kwani kuna sehemu nimeandika kuwa nashangilia? Mbona unajishtukia!
 
Inawezekana wenzake wamemlisha sumu.maana hataki kumaliza vita.kuna waziri mkuu wao mmoja nae alipigwa risasi kwa sababu ya maridhiriano.kwa sasa waisrael wengi hawataki vita iendelee wanajeshi wao wanakufa sana ila ni marufuku kutangaza.waisrael wanaogopa sana kufa wao ni hodari kwenye mission na kuua viongozi na mambo mengine ya ujasusi.
 
Tumewazoea kwa wishful thinking zenu. Juzi juzi tena mkaeneza hivihivi kuhusu Kagame wa Rwanda lakini baada ya wiki Mwamba akaibuka na afya yake tele.
 
Which ever happen amemaliza kazi kwa ushindi mkuu
 
Wachambuzi wanadai huenda ni Iran wamehusika kumdhuru jamaa lakini kwa aibu hawawezi kutangaza hilo watatudanganya tu kuwa ni chakula chenye sumu
 
naona kabisa haka ka bibi kanaenda kufa...zikija hizo habari ntakula kitimoto na bia wiki nzima,mazafaka benja
 
Bora umewahi kumjibu kisomi hilo zezeta la Shetaninyahu
 
naona kabisa haka ka bibi kanaenda kufa...zikija hizo habari ntakula kitimoto na bia wiki nzima,mazafaka benja
Hata raia wa Kuhara Israel watafurahi maana wengi hawampendi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…