Acha kujificha kwenye kichaka cha Kagame. Hiyo taarifa imetoka BBC kwenye chombo chao wenyewe cha habari.Tumewazoea kwa wishful thinking zenu. Juzi juzi tena mkaeneza hivihivi kuhusu Kagame wa Rwanda lakini baada ya wiki Mwamba akaibuka na afya yake tele.
Hujui dunia inavyojiendesha chief. Unapewa taarifa unayopenda then watu wanaendelea na misheni yao kama kawa. Hiv unajua karibu robot ya west bank imeshqchukuliwa na masetler mpaka muda huu.Unadhani Kila siku ijumaa eeeh!?
Belgium ilikua rafiki mkubwa wa Israel ila imeanza kwa kukamata wanajeshi wa Israel na kuwatuhumu kwa war crimes.
Msikariri maisha geopolitical interests huwa zinabadilika.
Kuna mtu alidhani Iran na Israel watageuka kuwa maadui ilhali walikua marafiki hadi kusaidiana kwenye vita!?
Ni swala la muda.. Misaada ikiisha watatema bungo tu. Maana hawana uwezo wa kujilinda wenyewe. Hilo hata wewe unalijua.Hujui dunia inavyojiendesha chief. Unapewa taarifa unayopenda then watu wanaendelea na misheni yao kama kawa. Hiv unajua karibu robot ya west bank imeshqchukuliwa na masetler mpaka muda huu.
Hapa ndipo uwezo wetu kama Kobazi umefika mwisho. Article imeandikwa kwa weledi wa juu sana wa kikobazi.Niaje waungwana
Ni week sasa imepita toka ilipotangazwa kwa njia ya uficho, kwamba waziri mkuu wa Israel mwenye asili ya Poland Mr Benjamin Shetaninyau alibugia chakula chenye sumu kali, na hivyo kukimbizwa hospital haraka kwa ajili ya kuwahi kuokoa maisha yake.
Sasa toka kipindi hicho mpaka leo waziri mkuu huyo hajawahi kuonekana hadharan wala hospitalini. Hii inaonesha kuwa jamaa hayupo katika hali ya kawaida. Eidha yupo hai au hayupo hai.
Ingekuwa kwa hii nchi yetu, tayari wananchi tungeanza kuhoji alipo kiongozi wetu, haswa baada ya kutambua kuwa alikula sumu. Lakini kwa wenzetu hilo wala haliwashughulishi, ni kama walikuwa wameshamchoka. So hawana habari nae tena.
Netanyau alijiona mjanja, na kusahau kuwa kuna wajanja zaidi yake. Haya sasa wajanja washaondoka na roho, halafu jumbo bovu linaangushiwa hicho kibibi kilichopostiwa na chombo chao wenyewe cha habari "BBC swahili".
View attachment 3418427View attachment 3418428
Hivi unajielewa unachoongea wewe jamaa!?Hujui dunia inavyojiendesha chief. Unapewa taarifa unayopenda then watu wanaendelea na misheni yao kama kawa. Hiv unajua karibu robot ya west bank imeshqchukuliwa na masetler mpaka muda huu.
Kujipq matumain ni bure mzee. We futility msosi wako na watoto wako. Hao wanaowaita magaid ushafuatilia ujue kwa mwaka wanafanya biashara ya dollar ngap. Who's fool who.Hivi unajielewa unachoongea wewe jamaa!?
Kwahiyo wale askari kukamatwa Ubelgiji ni uongo na habari ya kutunga!?
Kwahiyo hiyo ni habari tunayotakiwa kuskia tu na haina uhalisia?
Vipi kuhusu Ireland kuitangaza Israel kama taifa la kigaidi!?
Hiyo West bank hata ibebwe yote kizazi cha wapalestina bado kipo na ndoto ya uhuru ipo mioyoni mwao.
Ipo siku wataanzisha uasi humo humo.
Ona mbona unaleta utoto sasa!?Kujipq matumain ni bure mzee. We futility msosi wako na watoto wako. Hao wanaowaita magaid ushafuatilia ujue kwa mwaka wanafanya biashara ya dollar ngap. Who's fool who.
Nakuuliza hao wanaowaita magaid unajua kwa mwaka wanafanya biashara na Israel ya bei ganOna mbona unaleta utoto sasa!?
Masuala ya financial stability yangu ni mambo yangu binafsi wewe zungumza kuhusu mada husika.
Kina nani nimewaita magaidi mbona unajivuruga!?Nakuuliza hao wanaowaita magaid unajua kwa mwaka wanafanya biashara na Israel ya bei gan
Uyo jamaa kazikwa tayali ¿Hivi Shalon bado yu hai mpaka leo au alifariki miaka mingi iliyo pita, yaani hulka yake ilikuwa inafanana Sana na ya Natenyahu!!
Mkuu huyo jamaa hana elimu ya kuweza kuelewa ulichoandika.Hivi unajielewa unachoongea wewe jamaa!?
Kwahiyo wale askari kukamatwa Ubelgiji ni uongo na habari ya kutunga!?
Kwahiyo hiyo ni habari tunayotakiwa kuskia tu na haina uhalisia?
Vipi kuhusu Ireland kuitangaza Israel kama taifa la kigaidi!?
Hiyo West bank hata ibebwe yote kizazi cha wapalestina bado kipo na ndoto ya uhuru ipo mioyoni mwao.
Ipo siku wataanzisha uasi humo humo.
Umesema Shetaninyau au nimesoma vibaya bila miwani?Shetaninyau
Babu yupi na wakati Netanyahu na wenzake babu zao ni wa Ulaya. Mzungu anawezaji kurithi ardhi isiyokuwa yake?Ngoja niweke mtazamo wangu binafsi kuhusu hi; Israel ni tofauti na nchi nyingi za pale middle east, let's assume Netanyahu kafariki, kiongozi yeyote atakae kuja hawezi kufanya tofauti na alichokua akilifanya Netanyahu; wanacho kifanya kwa ardhi ile ni maelekezo walionayo kutoka kwa mababu
Ngoma ikilia sana ujue inakaribia kupasuka. Hivyo soon tu jamaa watatupa taulo. Ni nani aliefikiri kuwa kuna siku Ireland, Spain, Sweden nk zitakuja kuiunga mkono Palestina? Nani aliekuwa anafikiri kwamba kuna siku Ufaransa itasema wazi kuwa inaenda kulitambua taifa la Palestina?so it will change nothing even if Bibi is dead so nikujipa furaha ya mpito isiokua na maana yoyote, nothing will be changed. Tumeona PM's kadhaa wamepita kwenye Ikulu yao tena wa vyama tofauti BUT wote wanafanya yale yale so sielewi why baadhi humu wanafurahia Netanyahu kufariki. Kuna habari zinasema, baadhi ya senior officials wa Israel na IDF pamoja na Mossaid wanamlaumu sana Netanyahu kwamba kazidisha upole, wana amini Gaza inapigwa kilokole, Houthis as well so haiwezi kushangaza kwamba ni mfumo ndio umeamua kumwondoa madarakani. Usije mkashangaa anaekuja akawa katiri Netanyahu akasome.
Iran kamwe haiwezi kurudia style ya kuburuzwa abadani maana wanaelewa lengo la wazungu hapo mashariki ya kati.Now back to Iran; hivi kuna watu humu ndani mnaamini (just mfano tu ) kwamba endapo Ayatollah akiuawa and say chama kilichopo madarakani kikaondolewa na kuingia regime nyingine, hi nadharia ya kuongoza kidini itaendelea? I doubt, Iran inaweza kirudia style ya either Iran ya zamani