Toka nianze kuangalia soka sijawahi kumsikia mtangazaji mnoko kama huyu wa Azam

Toka nianze kuangalia soka sijawahi kumsikia mtangazaji mnoko kama huyu wa Azam

GAZETI

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2011
Posts
5,286
Reaction score
6,736
Ni yule aliyetangaza mechi ya Yanga na mbao ambapo yanga alipigwa
2 - 0, yaani kama ni mshabiki wa Yanga na ulisikiliza namna alivyotangaza
yale magoli ni lazima upate maumivu mara mbili. Nakumbuka siku ile nililazimika
kumeza 'Valium' Dawa ya usingizi kwa hasira kutokana na utangazaji ule,

Jamani hivi wapi mmewahi kusikia utangazaji wa kinoko namna ile?
 
Hahahahah nimempenda jamaa. Afu live hawapendi mgongo wazi
Kabisakabisa maana alikuwa anasisitiza maneno mengine hayamo kwenye Video
Tazamaaaaaaa, tazamaaaaaaa mashabiki wanalia kwa furaha, yaaani alifurahi
utafikiri mtu aliyepata mtoto uzeeni.
 
Kwani magoli ni mangapi ..mbona nasikia goal nyinyi
 
Kabisakabisa maana alikuwa anasisitiza maneno mengine hayamo kwenye Video
Tazamaaaaaaa, tazamaaaaaaa mashabiki wanalia kwa furaha, yaaani alifurahi
utafikiri mtu aliyepata mtoto uzeeni.
Hahaha mkuu kwani mtoto wa uzeeni yupoje??
 
Hahaha mkuu kwani mtoto wa uzeeni yupoje??
Hii nakusudia yule mtu ambaye amekosa kabisa mtoto ujanani,
anajiona wazi kuwa heshima yake imeongezeka maradufu.
 
Hahaha tatizo lenu yanga mnaongea sana, wacha mnyooshwe tu.. hakuna namna [emoji23][emoji81][emoji81][emoji81]
 
Msikilize Bwigane akitangaza goli la Okwi,unaudhi!!!!!!!au Mwl.Kashasha akimchambua Okwi hadi raha,anatia dikshenari za hatari,mpaka Yanga anabadili stesheni
 
Back
Top Bottom