Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 28,122
- 52,886
Kwamba unapoteza kumbukumbu kiasi cha kutokujua unalala na nani au?Kwa Hali hii unaweza.kujikuta umelala hata na jirani
Sikuhizi umekuwa hukaukiwi visa!, hebu rudi hospitali kwanza watakuwa namajibu dhidi yako...Naombeni wataalamu wanisaidie toka nifa.nyiwe upasuaji memory yangu imekuwa ndogo Sana yaani
Nasahau haraka
Naombeni kama kuna dawa au hii Hali itaisha lini.
Kwa Hali hii unaweza.kujikuta umelala hata na jirani
Na aseme amejuaje anapoteza memoryTaja umri
Location
Jinsia
Nasahau sanaNa aseme amejuaje anapoteza memory
Na atuambie kuhusu umri Kama yupo 40+ au late 30Na aseme amejuaje anapoteza memory
Nasahau sana
Ushauri WA nini tena?Huenda umeshasahau tayari kwamba umeomba ushauri
Almost mwaka na nusu mkuuMgonjwa;. Daktari nina shida ya kusahausau vitu kwa wepesi
Doctor;. Shida hii imekuanza lini?
Mgonjwa;. Shida ipi hiyo daktari?
Doctor;π€π€π€π€
Miss Natafuta ulifanyiwa lini opareshen?
Wewe huna tatizo... Mbona umekumbuka nilichokuuliza βΉοΈAlmost mwaka na nusu mkuu
Umejuaje? nielekeze kidogo kwa undaniNasahau sana