Pole, ni vitu ambavyo vinafahamika:
1: Suala la upasuaji
2: Umri wa mhusika
3: Aina ya dawa zinazotumika watati wa upasuaji na jinsi ilivyotolewa( nusu kaputi au kaputi).
4: Uwepo wa tatizo kabla ya huduma
Vina nafasi au huweza kuleta madhara hasi ya uwezo wa kufikiri na utambuzi kwa kiasi tofauti. Yapo madhara ya muda mrefu na mfupi. Kiasi cha tatizo hutegemea vitu vilivyotajwa hapo juu pia uwepo wa tatizo kabla ya huduma tajwa kutolewa.
Waone wataalamu wa afya kwa mchanganuo zaidi wa tatizo, kiasi na nini kifanyike kwaajili ya utengemavu.