Toka nifanyiwe operesheni ya uzazi memory yangu imekuwa ndogo sana

Toka nifanyiwe operesheni ya uzazi memory yangu imekuwa ndogo sana

Hapana kwa sababu nasahau sahau vitu vingine narudia mara mbili mbili
Screenshot_20250323-102603~2.jpg
 
Naombeni wataalamu wanisaidie toka nifa.nyiwe upasuaji memory yangu imekuwa ndogo Sana yaani
Nasahau haraka
Naombeni kama kuna dawa au hii Hali itaisha lini.
Kwa Hali hii unaweza.kujikuta umelala hata na jirani
naona unatafuta sababu za kuchepuka mama mtu. hili sitakubali wallahi😳
 
Back
Top Bottom