afrodenzi
Platinum Member
- Nov 1, 2010
- 18,150
- 9,255
oooohhhh dear
hawa wanaume zetu hawaeleweki siku hizi dear.
wakipata virgin ....wanasema hana experience
wakipata ambae sie ..... mmmhhhh malaya..
bibie weye umejitunza vizuri tangia..
kwa hiyo asikuletee za kuleta na kukukosesha raha..
endelea kwa na msimamo wako..
kama kweli anakupenda basi avumilie..
usimrembeshee kabisa kwani hujui anawaza nini...
take care dear
AD