Toka nipo mkoa mwingine hanitafuti mpaka nimtafute, nifanyeje?

Ushauri mzuri wa kuufanyia kazi/kuutekeleza
 
Hiyu unamlazimisha ye anampenda mwaume mwingine kabisa piga chin anza upya
 
Huyo demu anafaa sana, simu na meseji za kila mara zinaboa.

I like my space hii mambo ya kuwasiliana mara nyinginyingi sometime ni kukaribisha ugomvi tu.
 
Huna chako, wewe ni spea tairi tu.

Mwanamke akikupenda ukiwa mbali simu hazikauki.
Kuna jamaa anatafutwa na ndiye anamsugua sana tu
 
Yes
 
Anacheza na akili yako huyo, na amejitahidi kujificha kwenye kichaka cha dini ukamatike. Kwani bado bikra?

Hisia za moyo wake zipo kule kwa ampendae na sio wewe, na ndo maana hajali kukupoteza. Hata usipompigia kwake haitakuwa na athari yoyote, huyo anakutega tu.

Jitahidi kupenda pale unapopendwa, inaleta furaha na amani ya moyo mkuu.

Mahusiano ya sasa ni sawa na mchezo wa bet.
 
Huyo demu anafaa sana, simu na meseji za kila mara zinaboa.

I like my space hii mambo ya kuwasiliana mara nyinginyingi sometime ni kukaribisha ugomvi tu.
Jifunze kuelewa mada kabla kukuruouka, Kuna tofauti kati ya kuto kutafutwa na kuto kutafutwa mara kwa mara
 
Kuna vijana mna'ufala mwingi Sana, Mtu akutafuti, kwanini unaendelea kujiliza kwake?

Kwani wanawake wameisha mtaani kwenu?

JINGA KABISA
 
Bado Hujasema πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Hautakiwi uwekeze kwa mwanamke maana muda wowote anakuacha.
Usiweke pesa, mali na akili kwa mwanamke kwasababu mwanamke muda wowote anakuacha. Utahonga wee, utatumia akili yako kwake na mwisho atakuacha.
Katika watu wasumbufu ni wanawake, mwanamke km ana nia na wewe atakusumbua sana kwenye mahusiano, simu atakuwa anakupigia kila muda na meseji kukujulia hali. Ukiona vyote kimya ujue ana mtu
 
Ahsante kwa ushauri mkuu
 
Maana yake hapo kuna mtu alikuwa anakula na bado anaendelea kula,hawa mademu syo kabisa
 
 

Attachments

  • IMG_1018.jpeg
    12.3 KB · Views: 5
Nakazia hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…