yellow java
JF-Expert Member
- May 3, 2022
- 1,228
- 2,234
Nakazia hapaAnacheza na akili yako huyo, na amejitahidi kujificha kwenye kichaka cha dini ukamatike. Kwani bado bikra?
Hisia za moyo wake zipo kule kwa ampendae na sio wewe, na ndo maana hajali kukupoteza. Hata usipompigia kwake haitakuwa na athari yoyote, huyo anakutega tu.
Jitahidi kupenda pale unapopendwa, inaleta furaha na amani ya moyo mkuu.
Mahusiano ya sasa ni sawa na mchezo wa bet.