Toka simba acheze shirikisho kwa mara ya kwanza kapata kipimo sahihi

MendeOLD

Senior Member
Joined
Feb 13, 2023
Posts
196
Reaction score
405
Toka simba acheze aya mashindano leo ndo kapata kipimo sahihi, na pia kagoma na ngoma wanatakiwa wa level up game yao wapo slow , sio creative, deffencesively kagoma ana cheza faul nyingi sana kitu ambacho ni hatari, mbele pia kibu na mpanzu sio wabunifu, wakikabwa kidogo tu hawana plan b, houwer ni mchezaji mzuri ila hana watu sahihi wa kuingia kweny mfumo wake, style of play ndo maana wanaishi kumuita mchoyo.

Kamara pia ajifunze kutokea mipila ya kona kama ange tupa best katika ile kona wasinge weza kufunga, ateba wow japo watu wa simba hawakuelewi ila kwa sisi tunaojua ball tunajua umui wako na kucheza na straiker mwenye weight ata mabeki hawapendi ila kwa shabik utalaumiwa mzito.
All in all katika second leg napenda kuona debla Fernandez mavambo aanzw why? Kutokana simba ndo atakua ana shambulia mda wote tuna itaji tufunguke hatuitaj watu wanao waza kuzuia kagoma apumzke tuone ubunifu wa kutembea na mpila na kupasia wa mavambo,
mpanzu kua mbunifu kaka unacheza winga ya kizamani sana ya kufosi uko uko tu sasa iv kama unaenda una dash una close in mara zote ulikua unafanya ivo ata mutale kanionyesha kitu cha tofauti kidogo kuzid wew.

Msife moyo mashabiki wa simba mna mwamposa uku ata wapaka mafuta ya upako.

Pia soma :Elias Mpanzu ni Kibu Denis aliyechangamka
 
Unatak mwamposa wa watu apoteze ushawishi kizembe eeh
 
Joshua Mutale,anastahili kuaminiwa!
Berkane wametuonesha tunapotakiwa kwenda, na tufikeje
 
Toka simba acheze aya mashindano leo ndo kapata kipimo sahihi, na pia kagoma na ngoma wanatakiwa wa level up game yao wapo slow , sio creative, deffencesively kagoma ana cheza faul nyingi sana kitu ambacho ni hatari, mbele pia kibu na mpanzu sio wabunifu, wakikabwa kidogo tu hawana plan b, houwer ni mchezaji mzuri ila anawatu sahihi wa kuingia kweny mfumo wake.

Kamara pia ajifunze kutokea mipila ya kona kama ange tupa best katika ile kona wasinge weza kufunga, ateba wow japo watu wa simba hawakuelewi ila kwa sisi tunaojua ball tunajua umui wako na kucheza na straiker mwenye weight ata mabeki hawapendi ila kwa shabik utalaumiwa mzito.
All in all katika second leg napenda kuona debla Fernandez mavambo aanzw why? Kutokana simba ndo atakua ana shambulia mda wote tuna itaji tufunguke hatuitaj watu wanao waza kuzuia kagoma apumzke tuone ubunifu wa kutembea na mpila na kupasia wa mavambo,
mpanzu kua mbunifu kaka unacheza winga ya kizamani sana ya kufosi uko uko tu sasa iv kama unaenda una dash una close in mara zote ulikua unafanya ivo ata mutale kanionyesha kitu cha tofauti kidogo kuzid wew.

Msife moyo mashabiki wa simba mna mwamposa uku ata wapaka mafuta ya upako.

Pia soma :Elias Mpanzu ni Kibu Denis aliyechangamka
Mkuu natafuta kibarua wa kubeba tofali site.
 
Back
Top Bottom