Toka ujiunge JF ni upi uzi wako bora?

Toka ujiunge JF ni upi uzi wako bora?

Expensive life

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2020
Posts
4,095
Reaction score
13,016
Wakuu habari zenu?

Kama mada tajwa hapo juu inavyojieleza.

Mimi binafsi toka nijiunge JF nina nyuzi mbili, japo nimesema mmoja imeniwia vigumu kuzitenganisha hizi nyuzi kisha nichague mmoja.

Hizi nyuzi za hawa memba wenzetu waliotangulia mbele za haki, folk, Mpauko, zimeelezea hali halisi ya maisha yao hadi vifo vyao. Hizi ndio nyuzi zangu bora, nimekuwa nikizisoma mara kwa mara, zimenipa fundisho kubwa sana katika hii dunia.
 
Back
Top Bottom