Toka Waarabu waanze kujiingiza kwenye mpira Soka limeanza kupoteza ladha

Kwa hiyo waarabu hawana haki ya kufanya na kuwekeza kwaajili ya manufaa ya mataifa yao?
 
Football is not about winning and having everything, football is about passion, culture, friendships.
Chuki imekuwa kubwa kuliko hoja uliyotaka kujenga, mpira wa miguu hauko Ulaya pekee.

Bado ni mchezo unaopendwa duniani kote, Arabuni, Brasil hadi Tanzania.
 
Uelewa wako ni mdogo sana kwenye hili suala la citizenship.

Mo ni Mtanzania by birth kazaliwa Singida kakulia Dar.

Mo hakuhitaji hata vibali kuishi hapa Tanzania kama wewe ambavyo hukuhitaji vibali kuishi Tanzania

Ni jamii ya Wahindi waliotoka Gujarat kuja Afrika Mashariki miaka ya 1800s
 
kwa hiyo hiyo ligi yao itafika wakati itakuwa ligi bora duniani kupita ligi za uefa? Sawa tusubiri wakati
Ligi za Ulaya ni bora kulinganisha na zipi? Dunia haiko Ulaya tu. Kuna ligi za Marekani ya kusini, Afrika, na sasa Arabuni.

Tumebahatika kuona hizo ligi chache tu.
 
Wazungu hua hawana noma wanaweza wapa
Wazungu waliwakatalia Tena Rais wa Uefa kabsa aliitisha press na akasem Bila aibu Kwamba Ligi la ulaya ni kwa Timu za ulaya tu Sio kwa timu nyngne kutoka uarabuni,

Na kibaya zaid akaongezea kusema wanachokifanya waarabu sasaiv ni Kujaribu kulishusha ligi la ulaya kitu ambcho hakitowezekana,

Maan hata Wachina walishndwa kukifanya na wao waarabu pia watashindwa tu.

Ukitaka kupata full interview ya alichokiongea Huyo Rais wa Uefa we nenda Youtube kaisearch utaipata full speech maan haina hata Miez Mitatu tangu aseme hivyo. Kiufupi Waarabu wanachukiwa mno Na Sjui kwanini
 
Sasa mtu akimchukia mwarabu ndio anakua mkristo? Mpagani, Buddha, Hindu, Rastafari hawawezi mchukia mwarabu?
 
Mkuu ni kama hoja yako ina make sense hivi!!? Kiufupi nimekuelewa!
 
Ivi Waarabu waliikosea nini Dunia aisee Maan Chuki ya Watu Dhidi yao ni Kubwa mno.
Chuki yao inajengwa na wivu wao wa kijinga,

Europe wanaua mpira wa South America na mabara mengine kwa fedha kwa makusudi kabisa tena kwa miaka mingi sana ila hatukuona hizo ngonjera zao za kulia lia,Europe ana nunua wachezaji wa South America kisha anawapiga bench Europe ili kuua tu ligi za huko zisiwe bora kuliko ligi za Europe.
 
Ivi Waarabu waliikosea nini Dunia aisee Maan Chuki ya Watu Dhidi yao ni Kubwa mno.
Hio chuki nihisia zako tu ila watu wanaongoza kuchukiwa duniani niwatu wenye rangi nyeusi yan hawa wananyanyapaliwa kila kona yadunia... Nikama wew mtu kukwambia mbona unamapenz makubwa sana nawarabu kulikoni
 
Hakika umenena

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hio chuki nihisia zako tu ila watu wanaongoza kuchukiwa duniani niwatu wenye rangi nyeusi yan hawa wananyanyapaliwa kila kona yadunia... Nikama wew mtu kukwambia mbona unamapenz makubwa sana nawarabu kulikoni
Ni kweli rangi nyeusi ndo tunaongoza kuchukiwa ila hii mada inaongelea waarabu Na mim nimecomment kulingana na Mada husika.

Usiwe unakurupuka kijana Sawa
 
Umeongea ukweli mtupu Mkuu
 

Mpira unaenda kuua upuuzi wa dini ya kigaidi hapo middle east,wazungu sio wajinga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…