Mpira Ni pesa ...
Watu wametoka africa familia masikini za kutupwa wanaenda ulaya kuvuja Damu na jasho kupata pesa ....
Hizo passion , culture na friendship vinaweza kununua Unga super market ? ,au vinaweza kumsaidia kujenga nyumba nzuri na kusaidia ndugu WA mchezaji ?....
Zaman wachezaji walikuwa wanacheza kunufaisha wamiliki WA team huku wao wakifa masikini,mpaka sasa wengine wanajuta ... ...
Sasa mchezaji hata akishinda CL ,PL kama pesa Hana kuna faida gani ? Mbaya Zaidi atatambulika na jamii kuwa kacheza man U , Liverpool na mpaka Leo anaishi nyumba ya kupanga ,au kashindwa kulipa Kodi ,au Ni masikini WA kutupwa,,,,,huoni wale legend WA man U saizii rashford ndio anawalipia rent waliendekeza ujinga WA passion ,sasa passion imewalipa nin[emoji23]
Saizii wachezaji wamesanuka ,no money no football ,uwanjan watu wanafia kule ,nguvu kubwa inatumika kwenye football ,na ukifika tu 34 years your useless Hakuna MTU wala team itakayokutaka Tena harafu unataka tucheze kijinga Bila pesa et passion ? Yaani wanitumie wao ikifika miaka 30 kiwango kimeshuka wananikataa narudi kulima kijijini maana hio passion na fans base havina uwezo wa kunilisha Zaidi ya kunicheka kuwa nimekuwa mchezaji mkubwa lakin nimekufa masikini,mbaya Zaidi watanitukana kuwa Sina akili [emoji23]
Waaarabu wamekuja kuleta thamani ya mpira ndio maana kina Kante ,mahrez ,Mendy ,Ronaldo wako kule kuvuna pesa ,wanajua kabisa CL Ni ujinga Bila kuwa na pesa mfukoni ,,,,sawa umeisaidia team kuchukua CL umepata like na followers mtandaon then what next kama pesa Sina [emoji23],Si ujinga mtupu ...