Tokea afe Horace Kolimba cheo cha Katibu mkuu wa CCM kimekuwa kama hakina Baraka

Bora angebaki zake udsm hadi miaka 65

Sasa hv analazimika baada ya 2025 atembee na bahasha

Halaf, Benard Membe kashauriwa aandike barua ya kuomba radhi kama Sofia Simba arejeshwe kundini
Kwa hiyo Bashiru na mzee Mdee wote wapo kwenye kapu moja?
Yaani wote ni wabunge wa viti vya dezo vya hisani ya mtawala na watakuwa wanagonga meza tu!
 
Bora angebaki zake udsm hadi miaka 65

Sasa hv analazimika baada ya 2025 atembee na bahasha

Halaf, Benard Membe kashauriwa aandike barua ya kuomba radhi kama Sofia Simba arejeshwe kundini
Hahahaaa u don't say. Kwahyo BM anataka kurudi kundini aisee interesting
 
Mzee nae Mroho tu

1997 alikuwa Katibu Mkuu, hadi leo yupo tu

Asaidiwe kupumzika kama Wasira
Ni mzee sana sasa sijui hata anachotaka ni nini. Walimpa mpaka sumu ila bado anamg'ang'ania tu mpaka afie hapo au

Juzi eti alibipu kugoma kuja CC
 
Halaf ndo Katibu Mkuu mstaaf choka mbaya kuliko wote
Hana hata ki ICD (bandari ya Nchi kavu) uchwara

Jaribu kuwafuatilia Makatibu Wakuu wa CCM walioteuliwa baada ya Horace Kolimba kukutwa na yaliyomkuta utawaona ni kama wamevurugwa kwa namna fulani.

Yaani shukrani ya chama kwao huwaga kama ni " mateke"

Niwakumbuka akina mzee Gama R.I.P baadae Nchimbi akamvuruga, kuna huyu mzee wetu Mangula alirudi Ilembula kuuza nyanya, kuna yule Makamba sr haijulikani yuko Madale kwa Diamond au Bumbuli, yupo pia Dkt. Wilson Mkama nadhani ni mjasiamali kwa sasa, tunaye mzee wetu maarufu Komredi Kinana ambaye nusura atimuliwe chamani baada ya kurekodiwa na mwisho yupo Komredi Bashiru ambaye yuko bungeni kwa sasa.

Kiufupi safari ya Katibu Mkuu wa CCM huwa ngumu na iliyojaa mashaka kama ya Katibu mkuu wa Yanga.

Mungu Ibariki CCM

Kila zama na kitabu chake.

Maendeleo hayana vyama!
Na bahati nzuri kinalindwa na mamlaka . Kingekuwa nje ya mamlaka kingeshasambaratika kusikojulikana.

Odhis *
 
Halaf ndo Katibu Mkuu mstaaf choka mbaya kuliko wote
Hana hata ki ICD (bandari ya Nchi kavu) uchwara
Anajifanya mzalendo pyua. Ndiomaana alivyocheuliwa na mfumo akarudi Kinenulo kuuza nyanya
Kaitumikia CCM muda wote huo na imekula Mke wake na mtoto juu ila hana cha maana

Atalipwa mbinguni😂😂😂😂
 
Wanamtandao walimrudisha awasaidie kumkata Lowassa maana Mzee ni bandidu sana

Kuna Jamaa pale Falcon pemben ya Lumumba ni Wataalam sana wa kuwapiga vizinga Viongozi wa Chama, wanakwambia Mzee Mangula akikupa hata elf 5 basi jiambie we unaweza kwenda kupiga kizinga kwa Omba omba wa pale Mnazi mmoja na ukapata chochote
Anajifanya mzalendo pyua. Ndiomaana alivyocheuliwa na mfumo akarudi Kinenulo kuuza nyanya
Kaitumikia CCM muda wote huo na imekula Mke wake na mtoto juu ila hana cha maana

Atalipwa mbinguni[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Lakini aliyepata kizaazaa kikubwa kuliko wote ni aliyekuwa katibu wa kipindi cha mwendazake...

Anguko alilolipata ni kama tembo kujirusha na kudondoka toka kwenye ghorofa ya 30.

Hivi sasa yuko kapu moja na Halima Mdee.
Ile inaitwa U turn
 
Jaribu kuwafuatilia Makatibu Wakuu wa CCM walioteuliwa baada ya Horace Kolimba kukutwa na yaliyomkuta utawaona ni kama wamevurugwa kwa namna fulani.

Yaani shukrani ya chama kwao huwaga kama ni " mateke"

Niwakumbuka akina mzee Gama R.I.P baadae Nchimbi akamvuruga, kuna huyu mzee wetu Mangula alirudi Ilembula kuuza nyanya, kuna yule Makamba sr haijulikani yuko Madale kwa Diamond au Bumbuli, yupo pia Dkt. Wilson Mkama nadhani ni mjasiamali kwa sasa, tunaye mzee wetu maarufu Komredi Kinana ambaye nusura atimuliwe chamani baada ya kurekodiwa na mwisho yupo Komredi Bashiru ambaye yuko bungeni kwa sasa.

Kiufupi safari ya Katibu Mkuu wa CCM huwa ngumu na iliyojaa mashaka kama ya Katibu mkuu wa Yanga.

Mungu Ibariki CCM

Kila zama na kitabu chake.

Maendeleo hayana vyama!
Vipi kuhusu makatibu wenezi?
 
Back
Top Bottom