johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
- Thread starter
- #41
Nani kasifia au unawaza leo hakuna wateja wa mbege na kitimoto hapo kilabuni kwenu?!!?Eleza alifanya nini na nini? siyo kusifia tu kama zwazwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nani kasifia au unawaza leo hakuna wateja wa mbege na kitimoto hapo kilabuni kwenu?!!?Eleza alifanya nini na nini? siyo kusifia tu kama zwazwa
Hao wako vizuri waangalie tu Mzee Jackson Msome Mwanri, Nape wote wako vizuri bwashee!Vipi kuhusu makatibu wenezi?
PamojaHahahaaaa.......!
Jaribu kuwafuatilia Makatibu Wakuu wa CCM walioteuliwa baada ya Horace Kolimba kukutwa na yaliyomkuta utawaona ni kama wamevurugwa kwa namna fulani.
Yaani shukrani ya chama kwao huwaga kama ni " mateke"
Niwakumbuka akina mzee Gama R.I.P baadae Nchimbi akamvuruga, kuna huyu mzee wetu Mangula alirudi Ilembula kuuza nyanya, kuna yule Makamba sr haijulikani yuko Madale kwa Diamond au Bumbuli, yupo pia Dkt. Wilson Mkama nadhani ni mjasiamali kwa sasa, tunaye mzee wetu maarufu Komredi Kinana ambaye nusura atimuliwe chamani baada ya kurekodiwa na mwisho yupo Komredi Bashiru ambaye yuko bungeni kwa sasa.
Kiufupi safari ya Katibu Mkuu wa CCM huwa ngumu na iliyojaa mashaka kama ya Katibu mkuu wa Yanga.
Mungu Ibariki CCM
Kila zama na kitabu chake.
Maendeleo hayana vyama!
Ewaaa... viti maalum vile wanapewa wanawake na walemavu wa mwili na akiliKwa hiyo Bashiru na mzee Mdee wote wapo kwenye kapu moja?
Yaani wote ni wabunge wa viti vya dezo vya hisani ya mtawala na watakuwa wanagonga meza tu!
LiChama lao linachukiwa mno kwa mbinu zake chafu dhidi ya Vyama vya Upinzani mpaka Viongozi wake wa ngazi zote wanachukiwa na kuogopwa kuliko ukoma na wakistaafu na kurudi kwa Jamii wanatengwa kabisa na kujificha kwa aibu. Rais mstaafu wa Liberia Ellen Sirleaf akizungumza na BBC angesema Rais Samia Suluhu Hassan atakuwa mpweke sana madarakani, (nyongeza yangu) atakuwa mpweke, kutengwa na kuchukiwa zaidi atakapokabithiwa Uwenyekiti wa Chama na kuanza kutekeleza maagizo ya CCM ya kuthibiti Wapinzani. Atamwomba Allah amlinde mpaka amalize muda wake salama arudi kwao Zanzibar akajifiche tusimwone wala kumsikia tena kama Kinana na Makamba. MaCCM yananyanyapaliwa kila kona, yajirekebishe!Huwa sielewi pia why wanaishia mafichoni .
CHAMA chenye hazina za kweliKwa sababu ni ma masta wa michezo michafu ya kisiasa lazima laana ziwaandame
Maisha haya yanaweza kukufunga mdomo na super glu acha kabisaLakini aliyepata kizaazaa kikubwa kuliko wote ni aliyekuwa katibu wa kipindi cha mwendazake...
Anguko alilolipata ni kama tembo kujirusha na kudondoka toka kwenye ghorofa ya 30.
Hivi sasa yuko kapu moja na Halima Mdee.