Tokea afe Horace Kolimba cheo cha Katibu mkuu wa CCM kimekuwa kama hakina Baraka



sasa Yanga ya nini hapo?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mtajijua na lichama lenu la kiibilisi , linatuletea laana tu kwenye hii nchi .
 
Kwa hiyo Bashiru na mzee Mdee wote wapo kwenye kapu moja?
Yaani wote ni wabunge wa viti vya dezo vya hisani ya mtawala na watakuwa wanagonga meza tu!
Ewaaa... viti maalum vile wanapewa wanawake na walemavu wa mwili na akili
 
Huwa sielewi pia why wanaishia mafichoni .
LiChama lao linachukiwa mno kwa mbinu zake chafu dhidi ya Vyama vya Upinzani mpaka Viongozi wake wa ngazi zote wanachukiwa na kuogopwa kuliko ukoma na wakistaafu na kurudi kwa Jamii wanatengwa kabisa na kujificha kwa aibu. Rais mstaafu wa Liberia Ellen Sirleaf akizungumza na BBC angesema Rais Samia Suluhu Hassan atakuwa mpweke sana madarakani, (nyongeza yangu) atakuwa mpweke, kutengwa na kuchukiwa zaidi atakapokabithiwa Uwenyekiti wa Chama na kuanza kutekeleza maagizo ya CCM ya kuthibiti Wapinzani. Atamwomba Allah amlinde mpaka amalize muda wake salama arudi kwao Zanzibar akajifiche tusimwone wala kumsikia tena kama Kinana na Makamba. MaCCM yananyanyapaliwa kila kona, yajirekebishe!
 
Lakini aliyepata kizaazaa kikubwa kuliko wote ni aliyekuwa katibu wa kipindi cha mwendazake...

Anguko alilolipata ni kama tembo kujirusha na kudondoka toka kwenye ghorofa ya 30.

Hivi sasa yuko kapu moja na Halima Mdee.
Maisha haya yanaweza kukufunga mdomo na super glu acha kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…