Tokea mtaani hadi bungeni - Profesa Jay

This dude deserved a victory.
 
acheni ujinga sio muda Wa kulumbano watu tunamajonzi na ukawa.
 
Prof j safi sana, mara nyingine njoo uchukue jimbo Dar.
 
thanx Jay kwa kuja kutuongezea majimbo ya upinzani moro
 
Aseeeee,,,shidaaaa,umetisha jay,big up Broo ,,next tym 2napanda juu eeeee mpka wa kome,,sheeeeenz type,
 
Sio muda wa kupiga story na kukimbizana na kina Ruge ni muda wa kuwatumikia wanamikumi
 
Hiphop legend, jitahidi uwe pia politics legend
 
Kikao cha dharura prof j

Nawashukuru sana wananchi kwa kweza kunipa kura Nashangaa nimeitwa ghafla kwenye kikao cha dharula Kikao kinaashiria kina maswali juu yangu Hii inatokana na ndiyo mzee na ahadi zangu.. Naona watu ni wengi wananchi walio na maana Najaribu kutafakari ni nini kinawachanganya!! Nipo tayari kujibu maswali yenu zamu kwa zamu Watakao uliza maswali na ningependa niwafahamu!
 
naitwa sajent byemero kwa niaba ya jeshi la polisi niuliza zile helkopta zetu vipi?
 
Kikao cha dharura prof j

Nawashukuru sana wananchi kwa kweza kunipa kura Nashangaa nimeitwa ghafla kwenye kikao cha dharula Kikao kinaashiria kina maswali juu yangu Hii inatokana na ndiyo mzee na ahadi zangu.. Naona watu ni wengi wananchi walio na maana Najaribu kutafakari ni nini kinawachanganya!! Nipo tayari kujibu maswali yenu zamu kwa zamu Watakao uliza maswali na ningependa niwafahamu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…