Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamani hiyo chuki ya ghafla hivyo imekuwaje
Huyu ana donge limemkaba kooni sasa kaja kivingine kumaliza kinyongo chake
Inaonekana kabisa
Heshima na hongera kwake mtu mzima. True G.O.A.T. only second to himself. Kimuziki alishafika mwisho, so hii ni hatua muhimu aliyoingia. Kila la kheri kwake.
Kikao cha dharura prof j
Nawashukuru sana wananchi kwa kweza kunipa kura Nashangaa nimeitwa ghafla kwenye kikao cha dharula Kikao kinaashiria kina maswali juu yangu Hii inatokana na ndiyo mzee na ahadi zangu.. Naona watu ni wengi wananchi walio na maana Najaribu kutafakari ni nini kinawachanganya!! Nipo tayari kujibu maswali yenu zamu kwa zamu Watakao uliza maswali na ningependa niwafahamu!