Tokea mtaani hadi bungeni - Profesa Jay

naitwa sajent byemero kwa niaba ya jeshi la polisi niuliza zile helkopta zetu vipi?

Nafikiria kwanza kuanzisha chuo cha marubani vinginevyo mtapata ajali nyingi sana angani. Baiskeli hamjui kuendesha helikopta mtaendeshaje kila mtu aendeshe yake huko angani itakuaje
 
"Mheshimiwa ulisema mabomba yataoa maji na maziwa, VP mbona hatuoni diraa?
 
Nafikiria kwanza kuanzisha chuo cha marubani vinginevyo mtapata ajali nyingi sana angani. Baiskeli hamjui kuendesha helikopta mtaendeshaje kila mtu aendeshe yake huko angani itakuaje

muheshimiwa sisi wakulima ulituahidi matrekta, miaka inayoyoma tu mbona hujayaleta
 
"Mheshimiwa ulisema mabomba yataoa maji na maziwa, VP mbona hatuoni diraa?

jaman naomba muulize maswali ya kiutu uzima mabomba kutoa maji na maziwa haiwezekani. mlininukuu vibaya nasisitiza haiwezekani
 
habari wadau..

wasanii walilalamika sana sugu kutowapigania bungeni..

lakini kwenye kampeni mwaka huu wote walikimbilia kampeni za ccm na kuwaacha wenzao kina prof jay na kingwendu wakigombea ubunge makwao..

hakuna msanii alieonekana akitoa sapoti kwa kingwendu na prof jay.

bahati mbaya kingwendu kura hazijatosha but proff jay ameshinda ubunge.

sasa tusubiri kelele za kutosaidiwa na jay kutoka kwa kina ally kiba, chege, ray, mwana fa, temba, fid q na wengineo wote
 
Dah! Sie watoto wa zamani J alitusaidia sana baada ya watu kutuona wahuni kwa kuchizika na mziki wa leo-- Chemsha Bongo ikabadilisha kila kitu!!
 
hapo ndipo utakapoelewa ni jinsi gani wasanii wetu walivyokuwa cheap....maslah kidogo tena ya muda mfupi yamewasahulisha kabisa matatizo yao..mtu kama fid nilitegemea kuona post za kutosha za kumsupport jay lakini wap..hongera kwa bwana joseph haule ingawa still ccm hawajakubali kama wamepoteza jimbo!
 
awatetee wakina roma na kala wamemsaidia sana masanii mengi manafiki sana leo utaona yanampongeza kwa ushindi wakati wakati wa kampeni yamemtosa
 
Piga makofi piga makofiii


Piga Makofi tafadhaliii
 
wasanii wetu wote walikua n kazi y kuuzaa mpapaa n pombe z kugongea kwa ccm....mwisho wa cku wamerudi jijini hawana kitu mwenzao ndio kawa mbunge.....kale kenye afya chafu cjui kamepata afya n maneno yke ya kipuuzi eti kalikua natagombea uwakilishi kino
 
Hongera Prof jay, pole yake Afande Sele na asante kingwendu kwa kuonyesha kujiamini usikate tamaa.
 
Nasema kwa mara ya mwisho ,tukomae kisiasa hao wasanii wana haki ya kumsupport au kutomsupport msanii mwenzao !no harm done pale professor alisimama kama joseph haule akisaka uwakilishi wa wananchi wa mikumi sio akina aunt Ezekiel na wengineo!
 
awatetee wakina roma na kala wamemsaidia sana masanii mengi manafiki sana leo utaona yanampongeza kwa ushindi wakati wakati wa kampeni yamemtosa

ukiachana na hao.Unaweza kunisaidia msanii yeyote(Aliyeipigia debe CCM) amempongeza Prof.J...
ikiwezekana hata link ama Page zao za Twitter na FB.......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…