Tokea mtaani hadi bungeni - Profesa Jay

ukiachana na hao.Unaweza kunisaidia msanii yeyote(Aliyeipigia debe CCM) amempongeza Prof.J...
ikiwezekana hata link ama Page zao za Twitter na FB.......


wanaona aibu... wataanzia wapi kumpongeza kinafiki
 
Ambao hawakum-support walikuwa na haki ya kufanya hivyo. Jay hakuwa akiomba ridhaa ya wasanii, bali ya wananchi wa Mikumi.

Bado nadhani atapigania haki za wasanii kadiri atavyoweza, cuz yeye pia bado ni msanii. Na ana ndugu na marafiki wasanii.

Ila truth be told, the whole Bongo flava game and all artists owe it to Jay, one way or the other. He revolutionized the game.
 
Nasema kwa mara ya mwisho ,tukomae kisiasa hao wasanii wana haki ya kumsupport au kutomsupport msanii mwenzao !no harm done pale professor alisimama kama joseph haule akisaka uwakilishi wa wananchi wa mikumi sio akina aunt Ezekiel na wengineo!

Utawasikia Wanalalamika prof jay hawatetei wasanii bungeni,ilo ndio tatizo
 
Utawasikia Wanalalamika prof jay hawatetei wasanii bungeni,ilo ndio tatizo
Kwahiyo hata wananchi ambao ni CCM hawatakuwa na haki ya kulalamika endapo wataona Prof Jay hawatekelezei mambo yao? Hivi nyie jamaa vp mbona hamuishi viroja? Kwani hata huyo Sugu hakuwahi kuwaambia kwamba yeye sio mbunge wa wasanii bali ni wa Mbeya; sasa mnalialia nini wakati tayari wameshafunguka macho kwamba hata huyo Jay sio mbunge wa wasanii bali ni wa mikumi?
 
Siyo mbunge wa wasanii, amechaguliwa na wana Mikumi. Hawa waliokuwa busy majukwaani wakitumika tu wabaki wakitumiwa tu. Siasa ni mahesabu!!!! Muulize baba tunda ameishia wapi!!!
 
Jana Mkude Simba ndyo anajifanya kumpongeza wakati alikwenda kupiga show mikumi na kumponda J ili asipite.
 
Mwalimu Evelyn Salt unajua nimekumiss hadi naumwa...yani toka tupige kura sikuoni humu ....hope umzima.....Teh Teh...peoplesss...
Ha ha ha powerrrr yani aluta continua....
Vibwengo wa NEC wamenivuruga ila nipo sana tu
 
Last edited by a moderator:

Vipi kuhusu mabomba ya kutoa maji na maziwa nchi nzima.
 

Hamna siku nitamdharau prof J nitakaposkia anazungumzia wasanii wa TZ
 
Nijambo zuri na la kiungwana kwa wana wa jamii ya bongo fleva wajiunge kwa pamoja na kumpongeza mwenzao profesa j kwa kufanikiwa kuwa mbunge wa bjmt.
 
bongo fleva wabana pua wengi hawajielewi....ni mashabiki wa wapumbavu sisiemu
 
Waipongeze chadema, unataka wasiende ikulu nini
 
BONGO FLEVA imenunuliwa na wale wengine bana, hawawezi na hawataweza kamwe kumpondeza
 
Nakiwaza shilole, wema nani yule mwingine uwoya na askari sele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…