Tokea nije Mara sijashughulika na wanawake wa huku kwansababu ya stori zinazonitisha

Idrissou02

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2018
Posts
354
Reaction score
656
Nina muda kidogo tokea niwasili mkoa huu wa Mara kwa kazi maalum ambayo itaendelea kuniweka uku kwa miezi kadhaa.

Kabla sijafika uku na ata baada ya kufika, nlishapata taarifa nyingi kuwa mkoa huu kukatwa mapanga kwasababu ya wanawake ni jambo la kawaida sana. Yaani mtu anaweza kukuchinja kisa tu amekuona umesimama na demu wake au demu anaemfuatlia. Tena ndo usiombee kaka mtu au baba mtu ajue umemla mwanae, wewe kimbia kabisa mkoa maana kaburi litakuhusu.

Hivyo japo nimeshaona watoto kadhaa wenye vishundu vinavovutia lakini mmh nikikumbuka stori nazopewa moyo unasita. Mara nyingi huwaga nasafiri mpaka mikoa ya jirani ambapo ninakua na amani zaidi kutafuna mbunye nzuri bila wasiwasi wa kutiwa shoka.

Ebu sasa watu mliowahi kuishi mkoa huu, mje hapa mseme kama wasiwasi wangu ni wa kweli au ni stori tu. Ili kama vp nianze kuzinyofoa izi mbunye za kikurya, kijaluo na kadhalika.
 
Kabla sijafika uku na ata baada ya kufika, nlishapata taarifa nyingi kuwa mkoa huu kukatwa mapanga kwasababu ya wanawake ni jambo la kawaida sana...
upo mara sehemu gani mkuu
 
Yaani wanaume wa dar lazima tu mjioneshe mlivyo lege lege
 
Nina muda kidogo tokea niwasili mkoa huu wa Mara kwa kazi maalum ambayo itaendelea kuniweka uku kwa miezi kadhaa.

Kabla sijafika uku na ata baada ya kufika, nlishapata taarifa nyingi kuwa mkoa huu kukatwa mapanga kwasababu ya wanawake ni jambo la kawaida sana...
Pale mwanaume wa Dar anapoenda kwenye mikoa ya WANAUME,lazima ajifungie ndani.
 
Nina muda kidogo tokea niwasili mkoa huu wa Mara kwa kazi maalum ambayo itaendelea kuniweka uku kwa miezi kadhaa.

Kabla sijafika uku na ata baada ya kufika, nlishapata taarifa nyingi kuwa mkoa huu kukatwa mapanga kwasababu ya wanawake ni jambo la kawaida sana...
Hivi mara Kuna pisi Kali?
 
Nina muda kidogo tokea niwasili mkoa huu wa Mara kwa kazi maalum ambayo itaendelea kuniweka uku kwa miezi kadhaa.

Kabla sijafika uku na ata baada ya kufika, nlishapata taarifa nyingi kuwa mkoa huu kukatwa mapanga kwasababu ya wanawake ni jambo la kawaida sana. Yaani mtu anaweza kukuchinja kisa tu amekuona umesimama na demu wake au demu anaemfuatlia. Tena ndo usiombee kaka mtu au baba mtu ajue umemla mwanae, wewe kimbia kabisa mkoa maana kaburi litakuhusu.

Hivyo japo nimeshaona watoto kadhaa wenye vishundu vinavovutia lakini mmh nikikumbuka stori nazopewa moyo unasita. Mara nyingi huwaga nasafiri mpaka mikoa ya jirani ambapo ninakua na amani zaidi kutafuna mbunye nzuri bila wasiwasi wa kutiwa shoka.

Ebu sasa watu mliowahi kuishi mkoa huu, mje hapa mseme kama wasiwasi wangu ni wa kweli au ni stori tu. Ili kama vp nianze kuzinyofoa izi mbunye za kikurya, kijaluo na kadhalika.
njoo Tarime man.. watoto wana shundu za hatari..
 
Ni kweli akina mura hawanaga mchezo ila peleleza aliyeko single, utainjoi huwa wanapenda wanaume weupe kama una rangi ya mtume hawachomoi.
Na ni watamu sio kitoto akikuganda ndo kakuganda, usimzingue tu
 
Nipo huku yapata mwezi sasa. Nimekutana na pisi mbovu sijawahi kuona dunia nzima. Itoshe tu kusema kuna mikoa ukikaa sana hasa Dar na Chuga then ukaja huku unaweza usione manzi wa kutongoza. Nimejikuta nakua mfuasi wa nyeto tu bila kupenda. Ninapopata mda weekends naibukaga mwanza nakula vitoto vya chuo narudi zangu mwepesiiii..

Kuhusu mapanga ni kweli, juzi juzi tu hapa kuna jirani wamemkata uume. Yani hawa jamaa bora wagundue unatembea na mke wake kuliko mchepuko. Wanathamini sana michepuko maana hua wanasema wanaingia gharama sana kuhudumia michepuko kwahyo ikitokea umemla demu wake tegemea maumivu tu. Silaha yao kuu ni mapanga na masime. Yani wao kukata kata ni kitu simple sana na wana hasira na wivu sana kwa madem zao!
 
Back
Top Bottom