Uchaguzi 2020 Tokea Tanzania ianzishe mfumo wa vyama vingi, uchaguzi wa mwaka huu utakuwa rahisi kwa CCM na itashinda kwa 100% ngazi ya urais

NILIVYOONA TU UMEANDIKA UCHAGUZI WA 2015 ULIKUA MGUMU KIDUCHU KWA CCM HAPO HAPO NILIACHA KUSOMA SABABU NILIJUA TU UNA NIA YA KUJIFURAHISHA NA CCM YAKO

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama ulishawahi kuforce kuwa mawakala wa chadema walishikiwa bunduki kusaini fomu kwa nini nisicheke.

Sio unacheka, hapo unajichekelesha. Unadhani nilikuambia ili ukubali, nilikuambia ukweli, ukubali ukatae lakini hilo ni juu yako, lakini habari ndio hiyo. Hii kuona watu wengi kutokujitokeza kupiga kura ni sababu ya huo ushenzi. Hakuna mtu mwenye akili timamu anaweza kujitokeza kushiriki uhayawani.
 
Islamic brotherhood of Tanzania or Act wazalendo. Nao wanataka nchi?
Mkuu Chagu Wa Malunde, kama nakuona vile, si ajabu ushindi wa mwaka huu ukabeba nguo begani na ukatembea barabarani kwa ushabiki. Naamini uchaguzi 2015 kama ni mpira ulilala na viatu.
 
Mpaka sasa sina mbavu tindo yaani watu wanashikiwa bastola kusaini fomu? Duh hii kali ya mwaka.
 
Mpaka sasa sina mbavu tindo yaani watu wanashikiwa bastola kusaini fomu? Duh hii kali ya mwaka.

Hivi unajifanya unashangaa au huamini nini? Akwilina aliuwawa na hao hao unaojifanya unashangaa kuwa hawawezi. Lisu alipigwa risasi kwenye eneo la bunge katika mazingira hayo hayo unayojifanya unakataa hapa. Acha kufumbia macho uovu dogo kisa ni mahaba niue.
 
Hapo sasa unazidi kuforce,mambo ambayo nafikiri yanahitaji mahakama ndio ithibitishe. Tundu Lissu alipigwa risasi eneo la Bunge? Nani alimpiga Akwilina risasi? Mh... Nafikiri ungejikita kwenye hoja upinzani umekosa hoja ya kupambana na JPM na CCM na atashinda 100% basi.
 

Unahitaji taasisi huru ukweli wa mambo haya kuwa wazi, nje ya hapo ndio hao wahuni wanapoweza kujificha na kufanya uovu bila hofu, na kuishia kupata watetezi wachovu kama nyie. Huhitaji nguvu kumshinda JPM, unahitaji taasisi huru tu ili haki itendeke, JPM na CCM yake hawatashinda kwa 100% maana uwezo huo hawana, sema watatangazwa washindi kwa 100%.
 
Uchaguzi wa 2002 ndio upi huo?
Mlichaguana wewe na nani?
 
Hukumuelewa vizuri Dk Bashiru fuatilia vizuri alichokuwa anamaanisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…