Mohamed Abubakar
JF-Expert Member
- Jun 26, 2014
- 984
- 1,179
Nianze tu kwa kumuomba yyte mwenye uwezo wa kumfikishia Rais Samia hili na amfikishie.
Hali ya Muhimbili inasikitisha. Na mkono wake wahitajika.
Rais Samia chochote atachofanyia Muhimbili atapata baraka tele kutoka kwa MwenyeziMungu.
Nayasema haya kutokana na hali halisi. Mgonjwa kapewa rufaa kutoka mkoani kuja Muhimbili kwa Kesi ya Saratani.
Mgonjwa wa saratani. Fikiria kipimo cha kwanza akaandikiwa apime UTRASOUND. Akaandikiwa tar 19 na akifanye tar 27 nov 2024. (beurocracy). Kipimo cha dkk 15 kaambiwa asubiri hadi tar 27.
Wamethibitisha kuwa mgonjwa ana uvimbe tar 30.
Dr wake kamwandikia afanye uchunguzi zaidi. Hata hivyo kwanza mgonjwa anahitajika kuongezewa damu.
Pamoja na kutimiza masharti yote ya kupatikana kwa damu lkn ni Muhimbili hawana Damu ya kumpa mgonjwa huyu siku ya 10 leo.
Ombi langu kwa rais Samia. Zile pesa za watz anazogawa kwenye matumizi ya anasa, angetumia kuwahamasisha watanzania walau wachangie damu.
Walau hizo pesa zitumike kuwalisha pilau watz wengi watajitikeza kuchangia walau damu.
Kwa ufupi hali ya huduma Muhimbili imezorota au zimekufa kabisa.
Ukilitimba nao uko mwingi kuliko huduma.
Fikiria kipimo ambacho huchukua dakika 15, kwa Muhimbili kinachukua wiki mbili.
Rais umejipa dhima kwa Watanzania basi nakuomba sana onyesha utu kwa wagonjwa walio na rufaa za maisha yao pale muhimbili.
Mgonjwa ana ndugu ambao ni donars. Lakini mgonjwa wao hajapata damu. Nimejaribu kutaka kuwahonga ili tupate damu bado wanasema hawana damu.
Serikali yetu basi shindweni tore lkn musishindwe katika upande wa afya tena katika ngazi ya hospitali kuu ya rufaa Muhimbili.
Hii ni sehemu ndogo sana ya taarifa ya kiuchunguzi pale Muhimbili. Kuna madude mengi na milolongo mingo ya logistics kuliko huduma za matibabu sijayasema.
Niishie hapa kwa sasa
Xxxxxxxx
Developing Story.
Hatimae mgonjwa wangu leo tar 10 dec kaonwa na daktari.
Dr kamweleza mgonjwa kuwa anahitaji kumfanyia uchunguzi kwa kumkata kinyama ili waweze kukipima na kuthibitisha kama uvimbe alionao ni saratani au laa.
Kaambiwa Gharama zinazohitajika ni zaidi ya 1,000,000/-, ambapo laki 8 pekee ni gharama ya upasuaji bado gharama ya vifaa tiba ambavyo kwa uzoefu wangu huwa ni sawa au zaidi ya gharama za daktari...
Kupewa taarifa hizo wakati nyongeza ya damu ya chupa 3 kafanikiwa kuwekewa chupa 1.
Pamoja ya kuwa mgonjwa ana bima ya nhif ya vifurushi hata hivyo kaambiwa haikidhi gharama hizo. Na kwamba hakuna kifurushi Chenye kukidhi gharama zaidi ya vifurushi kwa watumishi wa Umma.
Hii ina maana bima ya wote ya nhif ni mradi wa serikali kunipatia kipato bila ya kumsaidia mgonjwa.
Inakuwaje gharama za matibabu ktk hospitali ya ummah inayoendeshwa kwa kodi za Watz ifike zaidi ya laki 8.
Naomba Watz wenzangu hasa wasio CCM, tumsaidie mgonjwa huyu.
Kwa mwenye uwezo awasiliane moja kwa moja na mgonjwa kwa namba +255784048986, Asha Sinde.
Kwasasa mgonjwa analia tu, kwani serikali ya mama Samia ishampa taa ya kijani arudi kwao. Kwa kuwa hana uwezo wa kugharamia upasiaji
Bali akasubirie umauti.
Nimalizie kwa kuwapa hongera wataowaunga mkono wahalifu walio ndani ya serikali ya CCM.
Hongera Mfariji mkuu.
Mgonjwa huyu sisi tukiwa majirani kumetoa sana kupata viambatishi vya kwanini anastahili kupata tiba bure Muhimbili. Lkn hata hizo barua Muhimbili wamekataa kuzipokea.
Huu ni uhalifu kama uhalifu mwengine wowote. Lkn mbaya zaidi unafanya na tuliowapa dhamana ya kutuongoza.