James Hadley Chase
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 2,152
- 4,003
Ndio mwenyewe huyoHuyu jamaa ndo yule wa manyara?
Kama ndo yeye anastahili huyu jamaa alikuwa anafanya mazoezi kuanzia saa12:30 asubuhi hadi saa6 mchana kwa macho yangu niliona
Ndio mwenyewe huyoHuyu jamaa ndo yule wa manyara?
Kama ndo yeye anastahili huyu jamaa alikuwa anafanya mazoezi kuanzia saa12:30 asubuhi hadi saa6 mchana kwa macho yangu niliona
Hongera yake asee. Nilimuona katesh kijiji cha Nangwa kwenye uwanja wa mpira pale Veta baada ya mazoezi tulipiga story nyingi sana.Ndio mwenyewe huyo
Watu wanaoshindaa hivi hukuti makelele makelele ya siasa yaan ikiingia tu makelele makelele ya siasa unarogwa hushindi hata stars hili kombe la juzi wangeenda kimya kimya wangechukua ila dah hongera kwake SimbuKongole kwake
Hongera kwa Simbu, ila hizo sio sekunde tatu, ni 0.03 secondsMtanzania Alphonce Felix Simbu ameshika nafasi ya kwanza na kushinda Medali ya Dhahabu katika mbio za Marathoni Kilometa 42.195 upande wa Wanaume katika mashindano ya Dunia ya World Athletics Championships 2025 akimshinda Mjerumani Amanal Petros.
Simbu ametumia Saa 2:09:48 akipishana na Petros kwa sekunde 3 ambapo Mjerujumani huyo amepewa Medali ya Fedha. Walioshika nafasi zilizofuata ni Iliass Aouani wa Italia (2:09.53) na Tim Vincent wa Australia (2:20.12).
Medali ya Simbu ni ya kwanza kwa Mtanzania kushinda katika michezo hiyo ya World Athletics Championships.
..na hasa ukiambatana/fungamana na viongozi wa hiki chama chakavu..wana LAANAWatu wanaoshindaa hivi hukuti makelele makelele ya siasa yaan ikiingia tu makelele makelele ya siasa unarogwa hushindi hata stars hili kombe la juzi wangeenda kimya kimya wangechukua ila dah hongera kwake Simbu
Huyo ni Geay.Hongera yake asee. Nilimuona katesh kijiji cha Nangwa kwenye uwanja wa mpira pale Veta baada ya mazoezi tulipiga story nyingi sana.
Sikumbuki siku zimeenda kidogo mwaka 2016 hivi kama sio 2017Huyo ni Geay.
Sio sekunde 3 ni millisecond 3 sawasawa na 0.03 secondHao jamaa walikua mguu kwa mguu, wamepishana chini ya sekunde 3.
Mwakinyo aliposhinda kipindi kile kule Uingereza km sijakosea alienda kimya kimya hakuna aliejua mpaka aliposhinda ndio sasa watu wakajua na siasa zikaanza kuingia hapo, yaan hata Olympic mashindo yale watu wakienda bila siasa siasa ushindi huu hapa sema siasa zikiwekwa mbele wanasiasa wanataka wasifiwe wao wakati watu wanachafuka majasho kupambania ushindi wao wanaleta siasa zao za kiduanzi duanzi, weka fungu wape fungu waende kimya kimya siasa zikae pembeni watu lazima washinde ila makelele makelele ya siasa yakiwa mengi watu wanarogwa hawashindi ng'o..na hasa ukiambatana/fungamana na viongozi wa hiki chama chakavu..wana LAANA
Umeona huu ungese huu ndio maana watu wanazila wanaamua bora wasishinde tu, kupambana apambane Simbu pongezi apewe mwingine WTF is this?Natuma nafasi hii kumpongeza Mama Samia kwa simbu kushinda mbio
Hata wewe sahivi tukikuona umetuwakilisha vizuri kimataifa tutampongeza Mama samia utake usitake hata kama hatujui umefikaje hukoUmeona huu ungese huu ndio maana watu wanazila wanaamua bora wasishinde tu, kupambana apambane Simbu pongezi apewe mwingine WTF is this?
Watakuja hapa Mama kafaanya Mama..... MamaHuyu jamaa ndo yule wa manyara?
Kama ndo yeye anastahili huyu jamaa alikuwa anafanya mazoezi kuanzia saa12:30 asubuhi hadi saa6 mchana kwa macho yangu niliona