TANZIA Tom Lister Jr ''Deebo'' afariki dunia

TANZIA Tom Lister Jr ''Deebo'' afariki dunia

Nakumbuka jamaa alikua akipita mtaani kwenye movie ya Friday, majanki wote wanatoka baruti!! unasikia kibaskeli chake kinavyosogea vijana wanapiga kelelee, "Diiiiibooo" wote mbio ndani, R.I.P Dibo
Halafu alikua anawatafunia mama zao na madem zao kibabe[emoji16][emoji16]
 
Ndani ya Movie ya Friday,jamaa alicheza uhusika hasa,nikikumbuka ile scene ya yeye na Felisha geto nna cheka sana! Kitendo alichofanyiwa na Smoke[emoji1787][emoji1787]
Hahaa smokey alikua ni shida cris tucker
 
Kumbe no Deebo Mie nlikuwa najua n Diblo kule kwenye movie ya Friday jamaa aliitendea haki hata Ile nyimbo ya Ridin kacheza vizuri Sana.

Upumzike mahala salama Diblo.
 
basi unakosa raha za dunia itafute friday 1 ya 1995 ziko tatu zinazofuta za kina mike epps achana nazo tafuta ya 95 yuko na chris tucker na ice cube utaelewa tunaongea nini
Aisee naijua friday ya chriss, cube na deebo tu, hizo nyingine sijaziona, hiyo ya 95 mi niliiona 96
 
Aisee naijua friday ya chriss, cube na deebo tu, hizo nyingine sijaziona, hiyo ya 95 mi niliiona 96
zipo tatu kuna friday ya kwanza na chris tucker baada ya chris kupanda chart na kufanya na jackie chan akapanda dau akakataa kufanya kwa hela ndogo zilizofata ni NEXT FRIDAY (2000)NA FRIDAY AFTER NEXT(2002) baad aya hapo ice cube akaingia kutengenezaa movies(sequels ) za barbershop
 
Back
Top Bottom