tweenty4seven
JF-Expert Member
- Sep 21, 2013
- 15,863
- 19,626
Halafu alikua anawatafunia mama zao na madem zao kibabe[emoji16][emoji16]Nakumbuka jamaa alikua akipita mtaani kwenye movie ya Friday, majanki wote wanatoka baruti!! unasikia kibaskeli chake kinavyosogea vijana wanapiga kelelee, "Diiiiibooo" wote mbio ndani, R.I.P Dibo
Hahaa smokey alikua ni shida cris tuckerNdani ya Movie ya Friday,jamaa alicheza uhusika hasa,nikikumbuka ile scene ya yeye na Felisha geto nna cheka sana! Kitendo alichofanyiwa na Smoke[emoji1787][emoji1787]
Aisee naijua friday ya chriss, cube na deebo tu, hizo nyingine sijaziona, hiyo ya 95 mi niliiona 96basi unakosa raha za dunia itafute friday 1 ya 1995 ziko tatu zinazofuta za kina mike epps achana nazo tafuta ya 95 yuko na chris tucker na ice cube utaelewa tunaongea nini
zipo tatu kuna friday ya kwanza na chris tucker baada ya chris kupanda chart na kufanya na jackie chan akapanda dau akakataa kufanya kwa hela ndogo zilizofata ni NEXT FRIDAY (2000)NA FRIDAY AFTER NEXT(2002) baad aya hapo ice cube akaingia kutengenezaa movies(sequels ) za barbershopAisee naijua friday ya chriss, cube na deebo tu, hizo nyingine sijaziona, hiyo ya 95 mi niliiona 96