njaakalihatari
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 4,081
- 8,671
Tommy lister maarufu kama DIBO is dead wengi tunamkumbuka kwenye movie ya Friday ya kwanza ya 1995 RIP DIBooo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakumbuka jamaa alikua akipita mtaani kwenye movie ya Friday, majanki wote wanatoka baruti!! unasikia kibaskeli chake kinavyosogea vijana wanapiga kelelee, "Diiiiibooo" wote mbio ndani, R.I.P DiboTommy lister maarufu kama DIBO is dead wengi tunamkumbuka kwenye movie ya Friday ya kwanza ya 1995 RIP DIBooo
ACHA UJINnGA KA DOWWNLOAD movie inaitwa friday ya 1995 friday 1Ndio namsikia leo
Unanionea bure tu mkuu mimi na hizo mbanga ni maji na mafutaACHA UJINnGA KA DOWWNLOAD movie inaitwa friday ya 1995 friday 1
HENCE THE FAMOUS SAY..BYE FELICIA ...DAH YULE DEMU AISEEE unajua kawa mama ila na biashara za restaurant halafu mzuri kishenziNdani ya Movie ya Friday,jamaa alicheza uhusika hasa,nikikumbuka ile scene ya yeye na Felisha geto nna cheka sana! Kitendo alichofanyiwa na Smoke🤣🤣
basi unakosa raha za dunia itafute friday 1 ya 1995 ziko tatu zinazofuta za kina mike epps achana nazo tafuta ya 95 yuko na chris tucker na ice cube utaelewa tunaongea niniUnanionea bure tu mkuu mimi na hizo mbanga ni maji na mafuta
What Bike??🤣🤣🤣Deeboooo in Chris Tucker voiceee. RIP Mwambaa
Jamaa alikua na ngumi jiwe,alimpiga cris tucker kama sikosei kwenye movie ya ice cubeTommy lister maarufu kama DIBO is dead wengi tunamkumbuka kwenye movie ya Friday ya kwanza ya 1995 RIP DIBooo
View attachment 1646969