Tom Mboya

Tom Mboya

Hahahaha

Kumbe wewe sio ile Wanjiku original?

Zile original nasikia hua zina hasira sana zinaweza kukata genetalia za waume zao wakiwaletea mchezo!

Na mwanaume akiishiwa hua wanaondoka hawana ujinga wa kukaa na mwanaume masikini!

Kyuks girls are no joke!
Hapo haujachocha,but hio ni stereotype kuna wakyuk wapao watakupenda hata bila pesa,you know all women are diffrent,but kusema ukweli kama si mkenya kuwaoa hao hupreffer wazungu ama kama ww m tanzania maybe uwe na pesa sana,but u never know love is blind utapata mwenye atakupenda bila pesa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahaha

Kumbe wewe sio ile Wanjiku original?

Zile original nasikia hua zina hasira sana zinaweza kukata genetalia za waume zao wakiwaletea mchezo!

Na mwanaume akiishiwa hua wanaondoka hawana ujinga wa kukaa na mwanaume masikini!

Kyuks girls are no joke!
Na jee ma boy wakenya wakikam huko,watawapata ama aje?Kwanza mi nataka hao wa boikoko,wenye wana nengua kiuno like nobodys business

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ebu jiulize kua inasemekana Bantu walitoka Congo / Cameroon border walifika vipi Africa mashariki,afu vitabu zetu zinasema kua wale watu ambao waliishi wa Kwanza kabsa katika hili eneo ambalo linaitwa Kenya walikua hunters click sounds na hao ni wazulu ambao wapo Africa kusini ,sasa huko walifika vipi?.

Sent using Jamii Forums mobile app
Vitabu zetu zinasema ain't right ni vitabu vyetu vinasema, karibu Tanganyika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sidhani kama judiciary then, being constituted mainly by wazungu/wahindi, then it was weak. It all dependsvon the people running those institutions and the govt in power operating as per, and being totally faithful to the constitution. Africans eventually supplanted the Asians/ Europeans in managing those institutions, but was it for the better? In fact, some very uncomfortable opinions emerged among the Africans themselves then that i.e. the civil service under the white control was better in terms of standards than the Africans who had recently supplanted them. It was an interim inefficiency...so it was hoped. But it has been such a long long wait for efficiency and competence.

Not all leaders in the newly independent Kenya really wished to for Kenya to be a capitalistic statem Kenya, just like nearly all the newly independent countries at the time, found itself being courted by the Eastern and the Western blocks. Divisions started to emerge soon after the independence over which political ideology began the the two Kenya had to adopt. Leftists, led by Oginga Odinga, with Pio Gama Pinto as his chief political strategist preferred communism. The conservative right leaning camp was led by Jomo Kenyatta, with Mboya being the weapon to fight the former. Game on...
A you kenyan?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata in 1965 our judiciary haikuwa na nguvu coz most pple hata ma magistrates walikuwa wazungu alafu wahindi actually 90%but hio staff ya capitalist i think ilikuwa idea ya kila leader hata kenyatta na njonjo wanted that

Sent using Jamii Forums mobile app
Sidhani kama judiciary kukua constituted mainly by wazungu/wahindi or whichever grouo, then it becomes weak. It all depends on the people running those institutions as well as the govt in power if it is operating as per, and being totally faithful to the constitution.
Africans eventually supplanted the Asians/ Europeans in managing those institutions, but was it for the better? In fact, some very uncomfortable opinions emerged among the Africans themselves then that i.e. the civil service under the white control was better in terms of standards than the Africans who had recently supplanted them. It was an interim inefficiency...so it was hoped. But it has been such a long long wait for that efficiency and competence.

Not all leaders in the newly independent Kenya really wished to for Kenya to be a capitalistic state. Kenya, just like nearly all the newly independent countries at the time, found itself being courted by the Eastern and the Western ideologies. Divisions started to emerge soon after the independence over which political ideology to adopt. Leftists, led by Oginga Odinga, with Pio Gama Pinto as his chief political strategist preferred communism. The conservative right leaning camp led by Jomo Kenyatta, with Mboya being the weapon to fight the former. Game on...
 
Na jee ma boy wakenya wakikam huko,watawapata ama aje?Kwanza mi nataka hao wa boikoko,wenye wana nengua kiuno like nobodys business

Sent using Jamii Forums mobile app

Kuna jamaa mmoja wa Kenya tupo nae huku Dar es Salaam anaitwa Njoroge!

Anapenda totoz za TZ amesema harudi Kenya hata mje kumchukua na bunduki!

Anasema TZ supus hazimuumizi kichwa kama za Kenya!

Hahahahaha
 
Yes, I am a Kenyan...
Ooh fiti sai wazungu hawako kwa judiciary but bdo strecture ni ile tu bdo Kenyan whites,kenyan indians alafu sisi,structure bdi hio,chenye kili happen nikuwa tulipata independence but vitu zingine hazikuchange sana ka structure ya society enda westy parkland kileleshwa then kam buru,na koma alafu huruma

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna jamaa mmoja wa Kenya tupo nae huku Dar es Salaam anaitwa Njoroge!

Anapenda totoz za TZ amesema harudi Kenya hata mje kumchukua na bunduki!

Anasema TZ supus hazimuumizi kichwa kama za Kenya!

Hahahahaha
haha maybe hawamjibizi ama kumuitisha pesa unajua huku madem si wanyonge they know their rights

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakusoma mkuu!

You are very correct!

Ila Bantu migration phenomenon ni moja ya maajabu ya dunia aisee!
Can you imagine that wale watu ambao walioko misri walikua weusi kama Sisi? Lakini wakabadilishwa rangi na arabs, walikua wanaleta wasichana wao afu wanachukua wavulana wa kiafrika kwenda kupigana huko kwao na wengine wanafanywa castrations baada ya kipindi flani rangi nyeusi ikatoweka misri na Kwanza na ndio hao ambao walioko Libya, Tunisia,aligeria and Morocco.Bantu walikua farmers na walikua wanatafuta mashamba ambayo ni fertile , wakilima wakose mazao na wanahama hio sehemu wanaende kwingine,afu kingine ni ugonvi katika familia pia ilichangia mkikosana kidogo mtu anajitenga na mkewe na wanawe wanaenda mbali ,chanzo kingine ni watu kurundamana mkiwa wengi wengine wanajitoa kwenda kutafuta makao kwingine na hilo pia lilichangia kubadilika Kwa lugha maana ukienda kuishi sehemu Flani unajifunza maneno mapwa kulingana na majirani wapia ambao umewapata.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom