Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo unaona tunafanana nini ??
daaaah [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]hela unayo mkuu usiende kichwa kichwa
mpuuzi huyo anataka nimjibu hovyoMkuu Rudi hewani kidogo, kuna mtu anatuhumu kuwa mimi ni wewe!
Hiyo ni ngumu mkuu,Nafuata Masaji tu mkuu.
Mkuu, ebu usicheke kwenye mambo ya msingi....[emoji53] [emoji53] [emoji53]
AiseeeMkuu, kama kuna sehem wanafanya masaji ya Busha tafadhali nijulishe. Maana hizo kitu ndio heshima yetu wazee wa huku... tehteehhh
Anaweza kufikiri ni buku2.hela unayo mkuu usiende kichwa kichwa
Wewe si umetoka mkoani,hapo ni darisalama be carefulleyKivipi?
Duhhhh,,, uko vizuri mkuu nenda kifua mbele,,,Sijajua gharama zake lakini mfukoni nina laki tatu kwenye simu kuna laki mbili na sabini na saba na mia tatu sitini na mbili
Ukiziacha zote itapendesa utupe na mrejeshoSijajua gharama zake lakini mfukoni nina laki tatu kwenye simu kuna laki mbili na sabini na saba na mia tatu sitini na mbili
sasa masaji tu utapataje uzoefu, inatakiwa yote yatakayotokea uyakabiri kwa kuyaonja na kupapasa ili ukasimulie vizuri ukiwa na uhakika na unachokisema.Nafuata Masaji tu mkuu.
Nini bintiWe baba
Kuna line za tigo au?Mnajiwekaga kwenye risk mnoo...afu kizembe zembe sana!
We nenda bana nisikuchoshe ukirudi utupe mrejesho
Unataka kwenda kufanyiwa nini etiNini binti
Hahhahah mambo ya msingi yako wapi hapa
Hahahaha.....[emoji12] [emoji12] [emoji13] [emoji13]Aiseee
Hio ya mfukoni inatosha kbs mkuu na massage za aina zote unafanyishiwa,jitahidi mtoa huduma iwe ni peace iliyosimamia kucha mkuu ili usijutieSijajua gharama zake lakini mfukoni nina laki tatu kwenye simu kuna laki mbili na sabini na saba na mia tatu sitini na mbili