Tomaso naingia Sinza sio kila kitu kusimuliwa tu leo nataka kufanyiwa Masaji

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Pole sana Mkuu
Ugumu tuachie sisi
Unatoka masaji mdada kanunaa hata karibu tena huambiwi!
Strictly masaji hizo biashara nyingine hazina nafasi
Uzalendo ulinishinda
 
Mtaani kuna ukimwi wa bei rahiiiisi kabisa lkn mtu unaenda kutafuta liukwimwi la bei ghali massage parlour.
 
Dah, kweli kuikosa Jamii Forum ilikua pigo kubwa sana. Hapa unakutana na akili mbadala.... Hapa nawaza msingi WA nyumba , mwingine anapekeka pesa masaji hahaha
 
ANgalia mkuu wengi wanaotoka huku kuna kitu hawatakuhadithia, kupapaswa vinyeo pamoja na madole wanayochezea...kuwa makini

Si wametaka wenyewe?

Wee utakubali kufanyiwa hivyo bila ridhaa yako?

Ukiona mtu anafanyiwa hivyo na akaridhika ujue mwenyewe kapenda.
 
Waungwana kuna vitu havisimuliki, ninachoweza kusema ni kuwa leo nimefanyiwa masaji na dada Winnie kwa mara ya kwanza kabisa. Tulikubaliana elfu sabini na tano, nikafanyiwa nyongeza kidogo ya muda pesa ikawa Tsh 120,000. Kumbe anaweza kuja kunifanyia hata nyumbani kwa gharama nafuu zaidi.
 
Umeoa? Shauriana na mke kwanza kabla hajaja nyumbani
 
Waungwana kuna vitu havisimuliki, ninachoweza kusema ni kuwa leo nimefanyiwa masaji na dada Winnie kwa mara ya kwanza kabisa. Tulikubaliana elfu sabini na tano, nikafanyiwa nyongeza kidogo ya muda pesa ikawa Tsh 120,000. Kumbe anaweza kuja kunifanyia hata nyumbani kwa gharama nafuu zaidi.
Huyo Winnie anajua sana ,Mimi keshanifanyia sana , na pia anapenda sana kunifanyia massage kuliko wateja wengine
 
sinza hakuna massage...massage kali zipo msasani na kinondoni

Msasani ni wendawazimu bei juu na wanajikuta wazungu woooote kama unataka kusingwa sogea Sinza mzee utakutana na mafundi wale maeneo ya Msasani wengi waliosomea hiyo kazi tofauti na Sinza wengi watundu BTW siku hizi wanakufuata popote ulipo ila pawe salama tu.
 
Waungwana kuna vitu havisimuliki, ninachoweza kusema ni kuwa leo nimefanyiwa masaji na dada Winnie kwa mara ya kwanza kabisa. Tulikubaliana elfu sabini na tano, nikafanyiwa nyongeza kidogo ya muda pesa ikawa Tsh 120,000. Kumbe anaweza kuja kunifanyia hata nyumbani kwa gharama nafuu zaidi.
Simulia vyote ili tujiandae na sisi mamluki siku tukienda.
 
Back
Top Bottom