Tomaso naingia Sinza sio kila kitu kusimuliwa tu leo nataka kufanyiwa Masaji

Hakikisha umeoga vizuri baada ya kutoka huko la sivyo utarudi home na kaarufu fulani kabaya ka joto la sinza.
 
Nafuata Masaji tu mkuu.
Hiyo ni ngumu mkuu,
Ni sawa na kusema uende bar kunywa Bia tu kisha ukaona hata Ka Nyama au Ndizi ukashindwa kutoa order na hela unazo
 
Sijajua gharama zake lakini mfukoni nina laki tatu kwenye simu kuna laki mbili na sabini na saba na mia tatu sitini na mbili
Ukiziacha zote itapendesa utupe na mrejesho
Hakikisha umepata huduma ya happy ending !
 
Sijajua gharama zake lakini mfukoni nina laki tatu kwenye simu kuna laki mbili na sabini na saba na mia tatu sitini na mbili
Hio ya mfukoni inatosha kbs mkuu na massage za aina zote unafanyishiwa,jitahidi mtoa huduma iwe ni peace iliyosimamia kucha mkuu ili usijutie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…