atlas copco
JF-Expert Member
- Jun 15, 2015
- 8,497
- 9,728
Hizo kwa ss wazoefu huwa tunapatania kbs kabla huduma ya massage haijaanzahuwa kuna huduma za dharula zinaweza kuibuka katikati ya masaji.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Pole sana MkuuMie nliendaga nliishia kulana tu na mdada hata masaji hakufanya, niliambulia kuoga tu
Fanya mpango uzipate hizo no ni muhimu sanaNilikuwa na namba za wahudumu wa masagi Tanga, nilisha zipoteza ukipata chimbo zuri na kesho na kesho yake tena utatamani kwenda,
Mbona unatoa location kwa roho mbili?Shuka Sinza Mori ....ila wanaume mmmh!
Uzalendo ulinishinda[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Pole sana Mkuu
Ugumu tuachie sisi
Unatoka masaji mdada kanunaa hata karibu tena huambiwi!
Strictly masaji hizo biashara nyingine hazina nafasi
Sinza ndio kila kitu, hakuna kitu hakipo sinzasinza hakuna massage...massage kali zipo msasani na kinondoni
ANgalia mkuu wengi wanaotoka huku kuna kitu hawatakuhadithia, kupapaswa vinyeo pamoja na madole wanayochezea...kuwa makini
Umeoa? Shauriana na mke kwanza kabla hajaja nyumbaniWaungwana kuna vitu havisimuliki, ninachoweza kusema ni kuwa leo nimefanyiwa masaji na dada Winnie kwa mara ya kwanza kabisa. Tulikubaliana elfu sabini na tano, nikafanyiwa nyongeza kidogo ya muda pesa ikawa Tsh 120,000. Kumbe anaweza kuja kunifanyia hata nyumbani kwa gharama nafuu zaidi.
Huyo Winnie anajua sana ,Mimi keshanifanyia sana , na pia anapenda sana kunifanyia massage kuliko wateja wengineWaungwana kuna vitu havisimuliki, ninachoweza kusema ni kuwa leo nimefanyiwa masaji na dada Winnie kwa mara ya kwanza kabisa. Tulikubaliana elfu sabini na tano, nikafanyiwa nyongeza kidogo ya muda pesa ikawa Tsh 120,000. Kumbe anaweza kuja kunifanyia hata nyumbani kwa gharama nafuu zaidi.
sinza hakuna massage...massage kali zipo msasani na kinondoni
Simulia vyote ili tujiandae na sisi mamluki siku tukienda.Waungwana kuna vitu havisimuliki, ninachoweza kusema ni kuwa leo nimefanyiwa masaji na dada Winnie kwa mara ya kwanza kabisa. Tulikubaliana elfu sabini na tano, nikafanyiwa nyongeza kidogo ya muda pesa ikawa Tsh 120,000. Kumbe anaweza kuja kunifanyia hata nyumbani kwa gharama nafuu zaidi.