Tomaso naingia Sinza sio kila kitu kusimuliwa tu leo nataka kufanyiwa Masaji

Tomaso naingia Sinza sio kila kitu kusimuliwa tu leo nataka kufanyiwa Masaji

GAZETI

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2011
Posts
5,286
Reaction score
6,736
Wakuu nimekuwa nikisikia sana kuhusu Masaji sijui Meseji ..... kiukweli sijawahi
Jua hii Kitu inakuwaje hivyo nimetinga hapa Sinza nimeambiwa huku ndo kuna
Wataalamu wa Hiyo kitu, Nakaribia Palestina hapa hebu nielekezeni Chimbo zuri
kwa hiyo masaji ni wapi?

If Possible unaweza kunitumia hata namba kwa Inbox.

Nimeambiwa masaji inaondoa uchovu wa mwili na msongo wa mawazo wacha nijaribu
nitaleta mrejesho.
 
Nenda mkuu wamepunguza bei ila uwe na kilo hata na nusu mfukon,,na usijifanye mshamba mshamba ila lazima papuch utaila tu
 
Back
Top Bottom