Zikitakiwa hesabu pia uje na uzi unaotingisha nchi nzima...za join the chain kila mtu kasema hajui namba ni ya nani!Wakuu, Natanguliza salamu, baada ya salamu naingia moja kwa moja kwenye hoja.
View attachment 3252926
Taarifa mpya inaonyesha kwamba huu mpango wa Chadema Kuchangia chama chao unaoitwa Tone Tone ni balaa! Ni kama Wananchi walikuwa wanasubiri tu Chadema iuanzishe ili waanze kumimina michango, unaambiwa namna hela zinavyomiminika, haijawahi kutokea, Huu mpango ni kama umefanikiwa kabla hata haujaanza.
Tayari Mamluki wa Upande wa pili wanaotegemea hela za wauza unga washaanza kujitafakari wafanyeje ili kuzuia matone hayo, na hasa matone yanayotoka Nje ya Nchi.
Huko Washington DC kampeni ya Tone Tone inaongozwa na Mbunge wa Mbarali Liberatus Mwang'ombe.
View attachment 3252925
Swali letu ni hili, Mwitikio huu mkubwa Dunia nzima ni ishara ya nini?
Hahaha matapeli haoZikitakiwa hesabu pia uje na uzi unaotingisha nchi nzima...za join the chain kila mtu kasema hajui namba ni ya nani!
Kingekuwa kimekufa chama changu CCM wasingekuwa wanabambikizia kesi viongozi na wafuasi wa CHADEMA. Tumia akili, wewe ni mtu mzima.Chadema kwa kujifariji! Chama kimekufa kubali ukweli
Wewe kama nani?Zikitakiwa hesabu pia uje na uzi unaotingisha nchi nzima...za join the chain kila mtu kasema hajui namba ni ya nani!
Naona unajitekenya na kujichekesha MwenyeweHongera sana Kwa Sekretarieti na Uongozi Mzima wa CDM kufanikisha hilo, kweli nimeamini ukiwapa nafasi Vijana wabunifu, Mafanikio lazima yaje.
Pia hongera zako mtoa mada, kusema kweli unaiweza kazi ya Uenezi hasa kwenye Mitandao ya Kijamii.
Nafikiri Lucas Mwashambwa ana mengi ya kujifunza kwako 👊
Muulize mmiliki wa machawa atakwambia kama kimekufa au kipo hai.Chadema kwa kujifariji! Chama kimekufa kubali ukweli
🔥🔥👍👍✌️Wananchi walikuwa wanasubiri tu Chadema iuanzishe ili waanze kumimina michango, unaambiwa namna hela zinavyomiminika, haijawahi kutokea
Labda mchangiaji potential ?!!!!Wewe kama nani?
Nimejiapiza kuwa kila wiki naingiza mchango.Tuko pamoja na Chadema,
Nishachangia 200K,
Sipendi ccm kwa moyo wangu wote
Wanaojifunza kwangu ni wale wenye akili timamu, huyo uliyemtaja wamemng'oa ubongo wakajaza vumbi la mbao ili kichwa kisibonyeeHongera sana Kwa Sekretarieti na Uongozi Mzima wa CDM kufanikisha hilo, kweli nimeamini ukiwapa nafasi Vijana wabunifu, Mafanikio lazima yaje.
Pia hongera zako mtoa mada, kusema kweli unaiweza kazi ya Uenezi hasa kwenye Mitandao ya Kijamii.
Nafikiri Lucas Mwashambwa ana mengi ya kujifunza kwako 👊
Kama nakuona vile unavyoteseka ukisubiri udhaifu utokee ili ukosoeTulitarajia tuone ushahidi wa tarakimu, kumbe maneno tu.
Ila wakati ni mwalimu mzuri. Huu Uzi utatukumbusha jambo.
Katika siasa hakuna jambo muhimu kama Propoganda.Linaweza likapikwa jambo kwa m mbwembwe nyingi sana lakini huko mwisho utasikia ''hapa tumepigwa' .Wakuu, Natanguliza salamu, baada ya salamu naingia moja kwa moja kwenye hoja.
View attachment 3252926
Taarifa mpya inaonyesha kwamba huu mpango wa Chadema Kuchangia chama chao unaoitwa Tone Tone ni balaa! Ni kama Wananchi walikuwa wanasubiri tu Chadema iuanzishe ili waanze kumimina michango, unaambiwa namna hela zinavyomiminika, haijawahi kutokea, Huu mpango ni kama umefanikiwa kabla hata haujaanza.
Tayari Mamluki wa Upande wa pili wanaotegemea hela za wauza unga washaanza kujitafakari wafanyeje ili kuzuia matone hayo, na hasa matone yanayotoka Nje ya Nchi.
Huko Washington DC kampeni ya Tone Tone inaongozwa na Mbunge wa Mbarali Liberatus Mwang'ombe.
View attachment 3252925
Swali letu ni hili, Mwitikio huu mkubwa Dunia nzima ni ishara ya nini?
Hahaha.............Kwa kweli Kijana ana safari ndefu sanaWanaojifunza kwangu ni wale wenye akili timamu, huyo uliyemtaja wamemng'oa ubongo wakajaza vumbi la mbao ili kichwa kisibonyee
Huyo mamluki Kipara kipya asikusumbue Hana jipyaLabda mchangiaji potential ?!!!!
Sidhani kama haya ni majibu sahihi.., Truth has no Fear...
Leo Kipara kesho huenda akawa na Nywele...Huyo mamluki Kipara kipya asikusumbue Hana jipya
Mungu akujazie palipopunguaNimerusha muda huu sasa ni mvua KAMILI