Tone Tone ya Chadema yatikisa Nchi, Spidi ya Michango inatisha

Wakuu, Natanguliza salamu, baada ya salamu naingia moja kwa moja kwenye hoja.

View attachment 3252926

Taarifa mpya inaonyesha kwamba huu mpango wa Chadema Kuchangia chama chao unaoitwa Tone Tone ni balaa! Ni kama Wananchi walikuwa wanasubiri tu Chadema iuanzishe ili waanze kumimina michango, unaambiwa namna hela zinavyomiminika, haijawahi kutokea, Huu mpango ni kama umefanikiwa kabla hata haujaanza.

Tayari Mamluki wa Upande wa pili wanaotegemea hela za wauza unga washaanza kujitafakari wafanyeje ili kuzuia matone hayo, na hasa matone yanayotoka Nje ya Nchi.

Huko Washington DC kampeni ya Tone Tone inaongozwa na Mbunge wa Mbarali Liberatus Mwang'ombe.

View attachment 3252925

Swali letu ni hili, Mwitikio huu mkubwa Dunia nzima ni ishara ya nini?
Zikitakiwa hesabu pia uje na uzi unaotingisha nchi nzima...za join the chain kila mtu kasema hajui namba ni ya nani!
 
Hongera sana Kwa Sekretarieti na Uongozi Mzima wa CDM kufanikisha hilo, kweli nimeamini ukiwapa nafasi Vijana wabunifu, Mafanikio lazima yaje.

Pia hongera zako mtoa mada, kusema kweli unaiweza kazi ya Uenezi hasa kwenye Mitandao ya Kijamii.

Nafikiri Lucas Mwashambwa ana mengi ya kujifunza kwako 👊
Naona unajitekenya na kujichekesha Mwenyewe
 
Hongera sana Kwa Sekretarieti na Uongozi Mzima wa CDM kufanikisha hilo, kweli nimeamini ukiwapa nafasi Vijana wabunifu, Mafanikio lazima yaje.

Pia hongera zako mtoa mada, kusema kweli unaiweza kazi ya Uenezi hasa kwenye Mitandao ya Kijamii.

Nafikiri Lucas Mwashambwa ana mengi ya kujifunza kwako 👊
Wanaojifunza kwangu ni wale wenye akili timamu, huyo uliyemtaja wamemng'oa ubongo wakajaza vumbi la mbao ili kichwa kisibonyee
 
Wakuu, Natanguliza salamu, baada ya salamu naingia moja kwa moja kwenye hoja.

View attachment 3252926

Taarifa mpya inaonyesha kwamba huu mpango wa Chadema Kuchangia chama chao unaoitwa Tone Tone ni balaa! Ni kama Wananchi walikuwa wanasubiri tu Chadema iuanzishe ili waanze kumimina michango, unaambiwa namna hela zinavyomiminika, haijawahi kutokea, Huu mpango ni kama umefanikiwa kabla hata haujaanza.

Tayari Mamluki wa Upande wa pili wanaotegemea hela za wauza unga washaanza kujitafakari wafanyeje ili kuzuia matone hayo, na hasa matone yanayotoka Nje ya Nchi.

Huko Washington DC kampeni ya Tone Tone inaongozwa na Mbunge wa Mbarali Liberatus Mwang'ombe.

View attachment 3252925

Swali letu ni hili, Mwitikio huu mkubwa Dunia nzima ni ishara ya nini?
Katika siasa hakuna jambo muhimu kama Propoganda.Linaweza likapikwa jambo kwa m mbwembwe nyingi sana lakini huko mwisho utasikia ''hapa tumepigwa' .
 
Back
Top Bottom