Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 86,410
- 169,862
Hahaaaa! Thitakiii, ngoja nimpigie.Njoo PM nikupe contacts zake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaaaa! Thitakiii, ngoja nimpigie.Njoo PM nikupe contacts zake
Hata mimi yangeziba ndio basi tena nitolee, haya mambo ya kutoboana bila mpangilio hapana jamani.Hi hi hi me yaliziba utotoni basi sijatoboa tena, naogopaaa eti khaaa
Kama Ni Ushamba Basi Wacha Niwe Nao, Ila Mwanamke Aliyejipachika Hivi Vipini Sijui Kitovuni, Kwenye Ulimi, Puani, Juu Ya Sikio, Juu Ya Jicho Ama Idodomya Kwangu Hana Nafasi Kabisa.
Hahaha jiraniiiiiUjirani wa mashaka LOL
Hi hi hi me yaliziba utotoni basi sijatoboa tena, naogopaaa eti khaaa
Hata mimi yangeziba ndio basi tena nitolee, haya mambo ya kutoboana bila mpangilio hapana jamani.
Haha ya sikio inishinde ndo itakuwa ya pua?Hahaha, bi mkubwa na mwanae, waoga hao.
Ongezeni hata ya pua jamani, kha!
Ahsante!!! lakini what do eyebrow piercings cost? na vipi jamii ambayo unaishi nayo wanachukuliaje swala hilo? Manake jamii nyingine wanaona huo ni uhuni ulioshtadi!!
Aaaah! Wapi, Ni Bora Nibaki Na Usigimbi Wangu. Mtu Amejipiga Vipini Kama Karatasi Kwenye Ubao Wa Matangazo, What Kind Of Fun Is It?C'mon mkuu, it's not a bad idea to try some fun once in a while..
Sichezi tena na weweHahaha jiraniiiii
Sichezi tena na weweHahaha jiraniiiii
Weeeeh! Kuchoma sindano ya dawa tu na uzee wangu huu ni mbinde!! Yaani sitoboi popote tena!Hahaha, bi mkubwa na mwanae, waoga hao.
Ongezeni hata ya pua jamani, kha!
Hahah usinikumbushe mie bana. Last time nimechoma sindano nipo second yr. Yani kuona tu ile sindano kule juu ilivyo ndefu nyembamba, wacha nitoe jicho, nilisumbua khaaa. Dr alikuwa mchina mmama, akaniambia niache kujidekeza kama mtoto while ni mama mzima umri wa Kuwa na watoto na lafudhi yake sasa "iko kubwa wewe" teh. Hadi mama alikuja chumba cha sindano, niliona aibu. Mmh Kesho yake sikusumbua tenaWeeeeh! Kuchoma sindano ya dawa tu na uzee wangu huu ni mbinde!! Yaani sitoboi popote tena!
Mie mara ya mwisho nikiwa form1, imebaki tu ile ya kidoleni nayo shughuli yake pevu!Hahah usinikumbushe mie bana. Last time nimechoma sindano nipo second yr. Yani kuona tu ile sindano kule juu ilivyo ndefu nyembamba, wacha nitoe jicho, nilisumbua khaaa. Dr alikuwa mchina mmama, akaniambia niache kujidekeza kama mtoto while ni mama mzima umri wa Kuwa na watoto na lafudhi yake sasa "iko kubwa wewe" teh. Hadi mama alikuja chumba cha sindano, niliona aibu. Mmh Kesho yake sikusumbua tena
Ni mambo ya aibu tehMie mara ya mwisho nikiwa form1, imebaki tu ile ya kidoleni nayo shughuli yake pevu!
Weeeeh! Kuchoma sindano ya dawa tu na uzee wangu huu ni mbinde!! Yaani sitoboi popote tena!
Ni mambo ya aibu
teh
He he he labor Mungu atanitendea huko HukoKha!, ebu acheni utoto bana. Sa ukitaka kupangilia hereni na vipusa mnafanyaje?
Kwani kutoboa si kama vile una staple paper tu, maumivu kidogo halafu basi. Mkienda labor sasa si itakuwa patashika na nguo kuchanika?
Tena kujitoboa ndo mazoezi mazuri ya labor, before it gets here.
Nawaona Wa Kawaida Nikipishana Nao Barabarani Ila Sio Kuwa Nae Wa Hivyo Aisee.Hahahaaaa, eti kama nini...lol! 😀
Hapana bwana, ukizoea utamuona wa kawaida tu.
He he he labor Mungu atanitendea huko Huko
Teh last year my Lil cousin gave birth. Alikuwa poa and everything ila kukatokea complication kidogo mwishoni. It was my first time kukaa maeneo ya labor yale (siendi tena kule, ntawaogopa wakaka Teh)
Basi bana, ikafika muda hadi cousin mwenyewe akasema amechoka na kulia juu maskini (she was very strong), akaomba tu c- section. Before, Wenzangu walikuwa hata wanamchungulia, mimi niligoma kabisa, kama kawaida nilimwaga machozi aisee khaa, wakashtuana tu "mama mfilipino kaanza", so wakatafuta excuse ya kunitoa, I left. Akajifungua, basi story ya kwanza kupewa ni jinsi nilivyolia. Ile nimefika tu kaniambiaje "kilichokuwa kinakuliza, si wewe na D (mdogo ake) mnajifanyaga hamnipendi kumbe mnanipenda" hahaha. Luckily, I'm her munchkin God mother uuuh. Ile week nzima sikuwasalimia wakaka, nisijejikuta labor na mimi (kidding lol)